Hivi East Zuu ni wapi?

Hivi East Zuu ni wapi?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,502
Reaction score
18,180
Kama wewe ni fanatic wa miziki ya Hip hop ngumu hapa bongo nadhani ushawahi lisikia hili neno kuanzia kwa akina Profesa Jay hadi kwa a.k.a. mimi Ngwair R.I.P.

Hili jina lilikuwa halikauki mdomoni mwao.

Sasa ninataka kufahamu je East Zuu walikuwa wanamaanisha ukanda gani au sehemu gani hapa Tz?

Naomba kuwasilisha.
 
Hatari sana hili jina ukiliskia ukiwa na Heineken kadhaa kichwani unahisi lipo ulaya huko.
 
Dodoma
Kama wewe ni fanatic wa miziki ya hiphop ngumu hapa bongo nadhani ushawahi lisikia hili neno kuanzia kwa akina Profesa Jay hadi kwa a.k.a. mimi Ngwair R.I.P. Hili jina lilikuwa halikauki mdomoni mwao.

Sasa ninataka kufahamu je east zuu walikuwa wanamaanisha ukanda gani au sehemu gani hapa Tz?

Naomba kuwasilisha.
Dodoma Mkuu
 
kuna mwamba alikuwa anaitwa eastzuu nna ndo alivumisha hilo neno pale magorofani kikuyu aliwakula wanawake wa sekondari wengi akawa anawaandika kwenye kaunta kila anaemkula na akaacha wosia kuwa ye ni mwathirika bila shaka aliotembea nao pia ni waathirika tyr akadai daftar hilo lisomwe majina hayo siku ya mazishi yake.

aliwala warembo wengi pale dodoma mjini

shule cty, central, jamhur, dodm, kikuyu, hijra, merriw,n.k watu walipata presha na ndo jina likavuma zaidi mpk leo ukitaja eastzuu unaeleweka unataja miwaya.

R.I.P konki wa madent
 
Kama ile list ya RIP Liyumba? Wengi wao waliotajwa wako hai. Au utasema mbaazi zipewe tuzo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom