Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,548
Nipe mwongozo maana utakuwa na uelewa..how do i go checkCheki signal strength na quality kama zipo chini installer hakuweka dish kwenye mkao mvua ikinyesha kunakuwa na tatizo lakini sio la kipindi kirefu hivo.
Press i button on your remote control mi ilikuwa below 68 ilikuwa hata mawingu tu disaster nikamleta fundi kaipandisha angalau 74 sasa iko fresh mvua ikinyesha inastaki not for long though.Nipe mwongozo maana utakuwa na uelewa..how do i go check
Cheki signal strength na quality kama zipo chini installer hakuweka dish kwenye mkao mvua ikinyesha kunakuwa na tatizo lakini sio la kipindi kirefu hivo.
DSTV digital satelite tv wanatumia satelite hivyo kukiwa na mvua[mawingu] yanaathiri mawimbi kutoka katika satelite.....i aint no pro by the way...Wakuu sioni hata haja ya kuwa na hii kitu inaitwa DSTV
1. Kukiwa na mvua au mawingu mazito basi ujue siku hiyo no signal.
2. Toka jana no signal hadi leo sa sita ndo nawasha inakubali
3. Scratch za kumwaga utafikiri Star times enzi hizo.
Sasa je wakuu hili tatizo ni kwangu tu au wote mnaexperence hili janga.
Swali kwa DSTV, hii mikwaruzo na siku ambazo mnakuwa hamko hewani mnacompansate vipi? Au hasara kwa mteja.
Naona na nyie ni JIPU tu lililoiva.
Wanaboa tu, fundi mwenyewe ukiwapigia watakuzungusha hadi ukome. Mara leta usafiri mara fundi hayupo. DSTV mnakeraSignals zinapotea for minutes not for hrs or days mkuu,cheki fundi arekebishe hilo dish lako
Kuna channel flan za Dini mimi zilishawishi nitupe Star Times, saiv zote wametoa. Yaan hata siwaelewi hawa watu. Nahisi wakiona channel inatizamqa sana na watu wanaamua kuitoa.DSTV mm wananichosha kabia, wameongeza gharama za kupata hudumu, huku wakipunguza huduma. Siwaelewi kabisa, Sasa ivi wametoa Ligi ya Ujerumani, Ligi ya Italy, Kombe la mfalme nalo wametoa. Msimu uliopita tulikuwa tunaona...sasa sielewi hizi ligi za Nigeria, Zambia n.k zinatusaidia nn sisi huku Tz, Hata ile ya Kenya ambayo haina mvuto kabisa, wanaonyesha live, ili iweje!
Tafadhali, turudishieni mipira yetu ondoeni maligi yenu, au kuwe na specifiz channel zionekane huko kwao tu.!
Mara nyingi fundi akija mwenyewe ni 40KWanaboa tu, fundi mwenyewe ukiwapigia watakuzungusha hadi ukome. Mara leta usafiri mara fundi hayupo. DSTV mnakera
Dishi limecheza hilo mwite Fundi akurekebishieWakuu sioni hata haja ya kuwa na hii kitu inaitwa DSTV
1. Kukiwa na mvua au mawingu mazito basi ujue siku hiyo no signal.
2. Toka jana no signal hadi leo sa sita ndo nawasha inakubali
3. Scratch za kumwaga utafikiri Star times enzi hizo.
Sasa je wakuu hili tatizo ni kwangu tu au wote mnaexperence hili janga.
Swali kwa DSTV, hii mikwaruzo na siku ambazo mnakuwa hamko hewani mnacompansate vipi? Au hasara kwa mteja.
Naona na nyie ni JIPU tu lililoiva.
Nashukuru kwa ushauri bossDishi limecheza hilo mwite Fundi akurekebishie