Hivi Designer wa Yanga SC Sheria Ngowi unajua kuwa wana Yanga SC 'wamekumaindi' kwa Ulichowafanyia katika Mijezi yao Mibovu mipya ya Juzi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
Mwana Yanga SC Mwenge

Kama Designer Wetu aliishiwa Uzi si angesema tu tuliyonayo tumpe?

Mwana Yanga SC Ubungo

Huyu Designer Wetu na hivi ni Mchagga lazima tu atakuwa kabania Nyuzi na katumia Nyuzi kidogo ili zingine akauze na akajengee Kwao Moshi

Mwana Yanga SC Kawe

Huyu Designer Wetu kama alikuwa hataki Kutengeneza Jezi safari hii si angesema tu kuliko kututolea Upuuzi huu mpaka tunachekwa na Watani?

Mwana Yanga SC Temeke

Kwa Kituko alichotufanyia Designer Wetu nikiambiwa havuti Bangi nitakataa na kubisha hadi Kiama.
 
This is a stupid and nonsense comment
 
Kwa jersey hii tumepigwa
 
Wewe sio mwanayanga umejuaje kuwa wamemmaindi ngowi?
 
Back
Top Bottom