Hivi Dar itakaimiwa mpaka lini?

Hivi Dar itakaimiwa mpaka lini?

ukiona hivyo ujue mkuu wa mkoa hana umuhimu wowote its just a political gift to retired soldiers and cc cadres...
Pamoja na hayo,ukikaimu mkoa/wilaya unavuta mshahara na marupurupu mara mbili siyo?
 
filosofia ya cdm ya kuigawa nchi kimajimbo ili kupunguza gharama zinazoliingizia taifa hasara imewasuta ndo maana wanaona uzushi kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa.
 
Jiulizeni tu hata hao mawaziri wana kazi gani ya maana pale kwenye wizara zao? Kusoma bajeti?
 
Back
Top Bottom