Xin shan low
Member
- Jun 26, 2025
- 94
- 52
Leo nimejiskia hovyo nikaenda kwa dokta flani hospital flani, nilichojieleza na tiba niliyopewa naona kama haviendani
Kwasababu sasa ni masaa saba tayari, na hali ipo vile vile au inazidi pengine
Sasa hawa madokta wanatibiana au anajitibu mwenyewe?
Madaktari njoeni mseme
Kwasababu sasa ni masaa saba tayari, na hali ipo vile vile au inazidi pengine
Sasa hawa madokta wanatibiana au anajitibu mwenyewe?
Madaktari njoeni mseme