Hivi cuf bila maalim seif itakuwepo?

Fredrick Sanga

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
3,153
697
Nimekuwa nikiangalia ukuaji wa vyama na nguzo za chama. Nimeona CUF inafanya vizuri sana Zanzibar, lakini Tanganyika hakuna kitu. Halafu kule Zanzibari nina wasiwasi kama Maalimu hatagombea mwingine anaweza kufikisha kura zake. Angalieni umri wake anachoka huyo sasa.

Labda ni wakati wa wanachama wa CUF kuangalia, isije ikawa ni chama chenye muhimili mtu.:hug:
 
Fred usiwe na wasi wasi ktk timu ya cuf Zanzibar, washezaji tunao tu wazuri na Wzalendo, Tukiashia wazee wetu Maalim Seif,Duni, Hamadi na wengine tunao home boys Jussa,Salim Dimani, na mashibukizi mingi tu kila mtu anamshinda mwenzake kwa uzalendo.
Nikweli Maalim anaanza kuzekee na vijana kila siku husema uhuru wa Zanzibar unasherewa kupatikana kutokana na upole wake Maalim tunataka ashie ngazi tulete joto ya jiwe.
 
Ife mara ngapi???uoni mwenyekiti anatapatapa hana pakushika??ameamua kuugeukia upinzani!!unadhani niyeye??inamubidi afanye hivyo!!na akijifanya ana ama chama ajue wenye vibaragashia watamnyonya macho!!
 
Fred usiwe na wasi wasi ktk timu ya cuf Zanzibar, washezaji tunao tu wazuri na Wzalendo, Tukiashia wazee wetu Maalim Seif,Duni, Hamadi na wengine tunao home boys Jussa,Salim Dimani, na mashibukizi mingi tu kila mtu anamshinda mwenzake kwa uzalendo.
Nikweli Maalim anaanza kuzekee na vijana kila siku husema uhuru wa Zanzibar unasherewa kupatikana kutokana na upole wake Maalim tunataka ashie ngazi tulete joto ya jiwe.
Duh! kweli wewe ni mzenji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom