kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,042
Cr7 ni mzungu yule au ni metis tu ( ni mtu aliyezaliwa na mzungu pamoja mwaafrika).
Unajua namuangaliaga vizuri yule jamaa yaani hafanani kabisa na wazungu rangi yake ya ngozi ipo tofauti na wazungu.
Pia hata watoto wake sio wazungu mfano ni kwa Cr7 Jr pia nimeona picha ya watoto wake wa wili wakike sio wazungu kabisa ni metis.
Je, cr7 ana asili ya Kiafrika?