Hivi CR7 Ronaldo ni Mzungu au Metis?

Hivi CR7 Ronaldo ni Mzungu au Metis?


Bangi ingeruhusiwa kutumiwa hata kama mboga za majani pengine ukali ungepungua, kuliko hivi zinavyovutwa kwa siri kavu kavu.​
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yule ni CAUCASIAN Yani mzungu pure, japokuwa watu hawajui asili ya neno mzungu.

Mzungu ni kifupi Cha WAZUNGUKAJI tuliowaita kipindi Ngozi nyeupe Kama wahindi, waarabu na hao WEUPE kutoka bala la ulaya wote tuliwaita Wazungukaji, Ila baadae miaka ya 1890's Ngozi nyeupe ya ulaya (CAUCASIUN) wakabeba hili jina la WAZUNGU tukabakinalo kuwatofautisha na wengine.

Kuna Siri kubwa kuhusu msamiati huu"CAUCASIUN" NITAFUTE kule fb kwa jina la Naligia Mninoi utafahamu kwa kina
 
Back
Top Bottom