Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,242
kweli mkuu walikuwa wanadai watu elfu 3000 kwa siku wameishia wapi wanatufanya sisi wajinga sanaHuu ugonjwa.. unakuzwa sana kwa sababu maalumu..
Nahisi hata vifo wanavyovitangaza wamevipata ni vifo hewa.. ama vya magonjwa mengine
hahaha nadhani mpaka jamaa afufuke ( jokes)Hivi wataandama mpaka lini?
Wanazingua sana,kweli mkuu walikuwa wanadai watu elfu 3000 kwa siku wameishia wapi wanatufanya sisi wajinga sana
Wataandamana hadi sheria zinazombagua mtu mweusi zifanyiwe editingHivi wataandama mpaka lini?
Kweli mkuuWanazingua sana,
Wakenya wanaofata mkumbo ndo wanazidi kuumia
Heko tz mambo yetu yanaenda vyema, hatuwezi kudanganywa km watoto
Kufa watu 5000 per day, tena for every day for more than two months si kitu kidogo, lkn Kuna watu wameamini
Hakuna kitu kama huo ugonjwa ni fix tuYaani ndio
Hapo nacheka mungu ametuomyesha uongo kuhusu huu ugonjwa hata tz hatuoni wanaosondoka ovyo
Sawa mkuuBaada ya maandamano.
SAVE THE DATE,nasema tena SAVE THE DATE
Au sioNchi pekee duniani ambayo Corona imeisha ni Bongo!
Huo ndio uhalisia wenyewe... kama ingekuwa ni gonjwa hatari kama tuliyo karilishwa basi kwa kupitia hayo maandamano yanayo endelea USA tungeliona watu wengi sana wakiwa wana anguka na kufa wakati wakiwa katika maandamanoHuu ugonjwa.. unakuzwa sana kwa sababu maalumu..
Nahisi hata vifo wanavyovitangaza wamevipata ni vifo hewa.. ama vya magonjwa mengine
Wakenya wanapata tabu sana, jana wameongezewa tena siku 30 za lockdownWanazingua sana,
Wakenya wanaofata mkumbo ndo wanazidi kuumia
Heko tz mambo yetu yanaenda vyema, hatuwezi kudanganywa km watoto
Kufa watu 5000 per day, tena for every day for more than two months si kitu kidogo, lkn Kuna watu wameamini
😃😃 huu ugonjwa mimi nilianza kuwa na mashaka nao tangu ulipo tangazwa kuwa ni tishio duniani..pale nilipoona ma_celebrity wakubwa duniani pamoja na wanasiasa wakijitangaza kuwa wameathirika nikaona bila shaka huu ni uongo mkubwa na hao ma celebrity walikuwa wanatumika ili kuupa kickCorona? What corona..??
Mimi toka mwanzo nilipinga kabisa lockdown.
Huo ugonjwa haukustahili kabisa kuwa ndo sababu ya ku shut down uchumi wa dunia.
Binafsi naanza kuamini pengine ilikuwa ni moja ya njama za kumuondoa Donald Trump madarakani.
Haiwezekani eti wiki mbili tu zilizopita tulikuwa tunatishwa kwamba sehemu zina open up too soon.
Nakumbuka Governor Brian Kemp walimsema sana alipoanza kuruhusu jimbo lake li open up kidogo kidogo.
CNN walikuwa mstari wa mbele sana ku promote hofu kwa watu.
Leo hii habari za COVID-19 hazipo tena CNN...
Hakika Rais Magufuli ni mwamba kwelikweli💪🏿💪🏿