Hivi cooperative officer II wana maisha kweli?

Hivi cooperative officer II wana maisha kweli?

Piga Interview, utaenda kuaniriwa Time ya Usimamizi wa SACCOS kama Mrajisi Msaidizi - Mshahara anayeanza ni kati ya TZS 2.54 MILLIONI - TZS 2.78 MILIONI hapo hiyo Basic Salary mkuu pia Kuna posho ya nyumba, Usafiri na Chakula si chini ya TZS 1.2 MILIONI - TZS 1.5 MILIONI uhakika wa Milioni 3 take home siyo Haba mkuu
kuupata urajis si rahisi hivyo mkuu

hapo ataanza na afisha ushirika tena afadhari awe wa halmashauri na sio wa tume ya maendeleo (TCDC)

Hapo atasubiri sana
 
Hapo omba mshahara ufike million 1 tu😂 ila kuhusu upigaji huwezi kuwini.
 
kiwango cha mshahara ni kile kile tu TGS. Kwa sisi tunaowania kombe hizo za Utumishi tunaingia kwa grade II salary ni 865k. Ukijitahidi saana kupangwa labda uende TCDC ila apart from hapo naonaga wengi kwenye mikeka ya kazi huishia halmashauri tu. Sijui sasa kuhusu maslahi mengine kama sitting allowances, diem, seminar kuhusika kwenye donor funded projects kama huwafikia na hao cooperatives wananufaika nazo kama vile Economist II & Planning Officer II waliobahatika pata sehemu nzuri kama Wizarani, taasisi zenye abbreviation kama JFC, LATRA, EWURA etc watu waliopo board, ma Hazina huko etc etc..

sema nini mwanetu as long as unataka Utumishi tukafanye tu mzee. You'll never know utapigwa placement ukapangiwa field yako kabisa & sehemu tofauti (ukikaa kwenye database kama ulisoma Accounting waweza tupwa kwengine as account officer, au kama Economics ukapigwa planning officer au Mchumi II). Kapambane tu kama umeridhia unataka gavoo
 
Kuna office moja ya halmashauri niliwahi kuitembelea,nikaona hiyo idara ya ushirika,office ipo ipo tu,staffs wake wamevaa mashati ya vitenge yamepauka na masuruali makubwa.nikajisemea tu hapo ni njaa kwa kwenda mbele.
In short cooperative officer ni ngumu kutoboa
 
Wakuu
Hii ngoma nimetoboa written interview..naombeni mnipe possible za oral.
Halafu hivi kuna hela kweli huku au bora kuendelea kupigika kwa mchina tu?
 
Attachments

  • Screenshot_20260418_182856_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20260418_182856_Opera Mini.jpg
    18 KB · Views: 30
Wakuu
Hii ngoma nimetoboa written interview..naombeni mnipe possible za oral.
Halafu hivi kuna hela kweli huku au bora kuendelea kupigika kwa mchina tu?
hongera mkuu mimi not selected for oral zimefika 8 sasa kwa kweli ni huzuni
 
Wakuu
Hii ngoma nimetoboa written interview..naombeni mnipe possible za oral.
Halafu hivi kuna hela kweli huku au bora kuendelea kupigika kwa mchina tu?
Kuna mtu wa karibu nmemuuliza anasema kuwa Mambo ya ushirika utapangwa Halmashauri ambapo mshahara ni kwenye laki nane hivi, ukisalimika Sana unaenda Tume ya ushirika au upate bahati baada ya Kipindi flani uhamishiwe tume but majority ni Halmashauri inakwenda, mostly likely za vijijini au tuseme wilayani, wanasema ni kukavu kama zilivyo halmashauri nyingi TZ.
 
Kuhamishiwa huko kwenye Maokoto sio masikhara, uko inabidi ukupambanie.
 
Kuhamishiwa huko kwenye Maokoto sio masikhara, uko inabidi ukupambanie.
Of course, Kwa mujibu wa mtoa taarifa wangu ni kuwa asilimia kubwa wataenda Tamisemi, wachache Sana ndo watakwenda huko kwenye Taasisi, mashirika, wakala sijui tume huko...Yaani vijana kazi wanayo huko Serikalini.
 
Wakuu
Hii ngoma nimetoboa written interview..naombeni mnipe possible za oral.
Halafu hivi kuna hela kweli huku au bora kuendelea kupigika kwa mchina tu?
Mungu akupiganie upate hiyo kazi mkuu. Mengine yatajulikana mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom