Sendoro Mbazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 3,556
- 2,331
Angalia vzr jiografia na ukubwa wa drc, bidhaa zinazoenda eastern drc ndio zinapita eastafricaNa kama inabahari , imekuwaje wakose bandari ya kupokelea mizigo hadi watumie bandari yetu?
Angalia vzr jiografia na ukubwa wa drc, bidhaa zinazoenda eastern drc ndio zinapita eastafricaNa kama inabahari , imekuwaje wakose bandari ya kupokelea mizigo hadi watumie bandari yetu?
Duh jiografia yako inahitaji msasaNajaribu kukuelewa lakini akili inakataa. Kwahyo huko Goma wanakabandari angalao kwa kuhudumia maeneo ya karibu au pia wanatumia bandari yetu?
Hiyo siyo sababu jamaniWako Atlantic hivyo kupitia Dar Ni distance fupi kuliko meli zizunguke Atlantic na kumbuka Atlantic ndo bahari korofi,haizoeleki,ukijifanya be mjanja utakutwa Bermuda pembetatu upotee
Halafu utakuta amesoma hadi form 4Ni litoto la chips mayai hilo.
Mtu aliyeenda shule kuna maswali yake utamjua tu!
Inashangaza, mtu ana simu yenye internet lakini anashindwa kupata jibu la swali rahisi kiasi hichoIla jf kuna watu mna uelewa mdogo sana dah..
Matadi Port is the most important maritime port of DRC with 90% maritime traffic (not including oil tankers). It has a handling capacity of 2,500,000 metric tons of cargo per year.kwakweli hili swali tunge feli wengi sana,ngoja nichambue kwingine huko ingawa aliyeuliza swali walimuona mjinga lakini hatimae wajinga wamepatikana kwenye majibu
"maendeleo hayana chama""
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Hii ndiyo matadi port sasa hii bandari ni ya mto au bahariMatadi Port is the most important maritime port of DRC with 90% maritime traffic (not including oil tankers). It has a handling capacity of 2,500,000 metric tons of cargo per year.
Matadi Port has started upgrading its installation according to ISPS code. The port is connected with Kinshasa by railroad.
The port is 1,610 meters long and equipped with 10 quays, this may allow “parking” of ten big ships at the same time.
Kuna nchi mbili tofauti zinazotumia jina la Congo,
Kuna Congo DRC- Kinshasa ambayo haina bahari ( landlocked) ingawa Kuna eneo dogo inapakana Moja kwa Moja na bahari ya Atlantic.
Pili Ni Congo Brazaville ambayo inapakana na bahari ya Atlantic.
Ipi unayoulizia?
[/QUOTE
Kisangani je, MTO Congo unamwaga maji Atlantic na meli zapita
kusema hawana kabisa sio kweli. wanayo coastline ya kama km40 mdomo wa mto congo unapoingia bahari ya atlantic. inakuwa classified kama landlocked kwa sababu ya ukubwa wake na udogo wa ukanda wa pwaniHakuna bahari.hapo unapopaona kwenye ramani kama pana bahari panaitwa Cabinda ni eneo la Angola kuna jambo lilitoka kipindi cha ukoloni wakapewa Angola