Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
Kwa utajiri uliopo Congo Drc hiyo nchi ingekuwa ya wazungu wangechimba mfereji kama wa Suez cannal hawa jamaa wangekuwa na bandari yao.Huo ni mkondo tu wa bahari ,bahari ipo Angola kama wanayo bahari kwann hawana bandari waje kushusha bidhaa bandari ya Dar