Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,506
- 11,439
Congo sio land locked. Wana bahari ya Atlantic kule magharibi. Lakini kutoka na jografia ya nchi, ni rahisi wao kupitishia mizigo Dar kuliko baharini Altalntic
Wana Jf huku tumejadiliana tumeshindwa kupata jawabu kila mmoja anavutia kamba kwake.
Hivi Congo ina bahari au haina bahari
View attachment 1532029View attachment 1532030



