Hivi Clouds FM ni Branch ya Rahio Uhuru?

Hivi Clouds FM ni Branch ya Rahio Uhuru?

DALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,259
Reaction score
4,691
Ndugu wana JF,

Kabla hatujafunga mwaka 2012, naomba mnisaidie kulijibu swali hili ambalo kwangu linanisumbua kila siku! Imekuwa ni utaratibu na utamaduni wa hiki kituo cha radio Clouds FM kuchukua upande kwenye mambo yanayohusu siasa ususani kwa kuitetea CCM moja kwa moja, mara nyingi inatokea kwenye kipindi cha PowerBreakfast ambapo kiongozi wa mashambulio dhidi ya vyama vingine ni Gerald Hando na kipindi cha Jahazi mashambulizi yakiongozwa na Ephraim Kidonde!

Swali langu ni je, huu ndo utaratibu wa vyombo vya habari au hiki kituo ni tawi la radio Uhuru linalomilikiwa na CCM?

Naomba mnisaidie!
 
kuna maovu mengi wanafanya,wanaogopa ccm ikiondoka madarakani wataishije
 
Wao wanatafuta kula, siasa ya nyakati hizi ni biashara kama zilivyo biashara zozote nyingine. Clouds wanalipwa na watawala ili kueneza propaganda za ccm

Inawezekana hata wao hawaipendi ccm toka kwenye nyoyo zao lakini wanaisifu na kuitetea kwa sababu wanlipwa ili kufanya hivyo
 
Kwani KIBONDE si ndiye mshereheshaji wa shughuli nyingi za CCM kama si zote......another reflection to diversify the discussion. Na yule mwana wa jamaa wa magogoni si inasemekana ni shareholder (Ze Zamaradiz Nketemaz)
 
Ndugu zangu CCM wana mtandao mkubwa kweli, vibaraka kila sehemu. Kila lenye mwanzo?!!!!! Halikosi mwisho


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Ndugu wana JF,

Kabla hatujafunga mwaka 2012, naomba mnisaidie kulijibu swali hili
ambalo kwangu linanisumbua kila siku! Imekuwa ni utaratibu na utamaduni
wa hiki kituo cha radio Clouds FM kuchukua upande kwenye mambo
yanayohusu siasa ususani kwa kuitetea CCM moja kwa moja, mara nyingi
inatokea kwenye kipindi cha PowerBreakfast ambapo kiongozi wa
mashambulio dhidi ya vyama vingine ni Gerald Hando na kipindi cha Jahazi
mashambulizi yakiongozwa na Ephraim Kidonde!

Swali langu ni je, huu ndo utaratibu wa vyombo vya habari au hiki kituo
ni tawi la radio Uhuru linalomilikiwa na CCM?

Naomba mnisaidie!

Uzuri wenye maskio tulishajua nn kinaendelea! Uongoz wajiangalie upya.
 
Hao jamaa hata mziki wakita usitoke hautatoka kirahisi,lakn kwa sababu tunaenda digitali tutakuwa na radio na tv nyingi tu,kwahio wadau mjiandae kusikiliza mnachotaka sio wanachotaka wao,mi clouds huwa nasikilza vipindi 2 tu,njia panda na spoti extra,asubuhi nipo magic fm au eafm na Zembwela,kwanini nisikilze wajingawajinga waniharibie siku kwa njaa zao au kujipendekeza!
 
Ni wastage of time kukaa na kuiskiliza clouds

vihiyo husikilizwa na vihiyo wenzao
 
Hao jamaa hata mziki wakita usitoke hautatoka kirahisi,lakn kwa sababu tunaenda digitali tutakuwa na radio na tv nyingi tu,kwahio wadau mjiandae kusikiliza mnachotaka sio wanachotaka wao,mi clouds huwa nasikilza vipindi 2 tu,njia panda na spoti extra,asubuhi nipo magic fm au eafm na Zembwela,kwanini nisikilze wajingawajinga waniharibie siku kwa njaa zao au kujipendekeza!
yaan me ni
coz of mbwiga
 
Back
Top Bottom