masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,172
Siku Sugu akipewa lifti kwenye hiyo chopa atatunga mistari usiku kucha!!!Mkuu,
Watanzania wote inabidi wawatambue hawa CHADEMA ni nani hasa?
Ukisema CHADEMA ujue ni Mbowe, Lema, Ndesamburo, Dr Slaa na mzee Mtei, nje ya hawa huyo ni mpita njia tu. Nimefurahi kuona Mbeya wamewashtukia hawa wabaguzi.