Hivi 'chopa' ya CHADEMA inatumika Arusha na Moshi pekee?

Mkuu,

Watanzania wote inabidi wawatambue hawa CHADEMA ni nani hasa?

Ukisema CHADEMA ujue ni Mbowe, Lema, Ndesamburo, Dr Slaa na mzee Mtei, nje ya hawa huyo ni mpita njia tu. Nimefurahi kuona Mbeya wamewashtukia hawa wabaguzi.
Siku Sugu akipewa lifti kwenye hiyo chopa atatunga mistari usiku kucha!!!
 
kwa taarifa yako ukerewe na mwanza walishajikomboa kutoka kwa chama cha wauza unga (CCM) halimashauri ya ukerewe hiko chini ya chadema,ccm ukerewe nzima ina madiwan watatu tu,toka dk slaa amwambie yule mama jambazi getrude mongera, wananchi wa ukerewe walimuelewa dr slaa ,na wakasema hapana kwa ccm
Yego,

Hoja hapa ni Chopa ya Chadema mbona hajawahi kufika Ukerewe au kisiwa cha Juma.

Kama hoja ni wabunge na madiwani mbona Arusha na Kilimanjaro kuna madiwani na wabunge wa Chadema lakini Chopa kila siku ipo huko huko tu.

Hakuna hata ya kutaja orodha ya viongozi wa Chadema, hao unaowataja wameishawahi kuipanda hiyo Chopa?
 
Soma hapa uwajue wanaomjuwa mungu wanamuabudu vipi: VATICAN CRIMES ~ na mema wanayoyafanya vatikano na duniani.

FaizaFoxy
Acha kuwa na akili za kuku,ukikuta watu wanatolewa huduma kinyume na maumbile utaenda na wewe ufanyiwe kwa sababu wao wanafanyiwa? Kwa kuwa Vatikan crime wanafanya nawe ufanye? Una akili kweli
JITAMBUE
 
kama chma ni cha kibaguzi kila kitu kitakuwa cha kibaguzi kwa hiyo hatutegemei kuona tofauti kubwa sana.
 
Yego,

Hoja hapa ni Chopa ya Chadema mbona hajawahi kufika Ukerewe au kisiwa cha Juma.

Kama hoja ni wabunge na madiwani mbona Arusha na Kilimanjaro kuna madiwani na wabunge wa Chadema lakini Chopa kila siku ipo huko tu.

Hakuna hata ya kutaja orodha ya viongozi wa Chadema, hao unaowataja wameishawahi kuipanda hiyo Chopa?

Mkuu Ritz,

Naona BAVICHA na akili zao za viroba hawana cha kutetea kuhusu ukanda unaofanywa na hao wafalme wa CHADEMA (Mbowe, Lema na Dr Slaa).
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy
Acha kuwa na akili za kuku,ukikuta watu wanatolewa huduma kinyume na maumbile utaenda na wewe ufanyiwe kwa sababu wao wanafanyiwa? Kwa kuwa Vatikan crime wanafanya nawe ufanye? Una akili kweli
JITAMBUE

acha kashifa za kitoto wewe.
 
Mkuu Ritz,

Naona BAVICHA na akili zao za viroba hawana cha kutetea kuhusu ukanda unaofanywa na hao wafalme wa CHADEMA (Mbowe, Lema na Dr Slaa).

mkuu usitegemee kupata kitu toka bavicha zaidi ya kejeli na matusi hawana hoja vijana wale.
 
Mkuu Ritz,

Naona BAVICHA na akili zao za viroba hawana cha kutetea kuhusu ukanda unaofanywa na hao wafalme wa CHADEMA (Mbowe, Lema na Dr Slaa).
Mkuu HAMY-D,

Hawa Bavicha ndiyo wanaichimbia kabuli Chadema.

Huyo kamanda uliyemjibu ananimbia Chopa haiwezi kwenda Ukerewe au Mwanza kisa kuna wabunge wa Chadema.

Namuuliza Arusha, Hai, Arumeru, hakuna wabunge wa Chadema haja jibu.
 
Last edited by a moderator:
acha kashifa za kitoto wewe.

Simiyu yetu,
Sio kashfa soma nilichomjibu ndipo ucomment

Kwamba usifanye kitu sababu Ritz anafanya,ukiiga fulani anafanya hivi na mie nifany una akili za kushikiwa

FaizaFoxy ameandika mambo ya VATICAN CRIME nikamjibu kwakuwa wanafanya crime na wewe unaiga? Halafu ukisoma historia ya kuanzishwa na kusambaa kwa dini hizi mbili Uislamu na Ukatoliki hauwezi kumnyooshea mtu mwingine kidole ilikuwa just precaution sio kashfa
 
Mkuu HAMY-D,

Hawa Bavicha ndiyo wanaichimbia kabuli Chadema.

Huyo kamanda uliyemjibu ananimbia Chopa haiwezi kwenda Ukerewe au Mwanza kisa kuna wabunge wa Chadema.

Namuuliza Arusha, Hai, Arumeru, hakuna wabunge wa Chadema haja jibu.

Haujaeleweka hapo kwenye red
 
WanaJF!

Ni imani yangu tuna tambua kuwa Tanzania yetu ni moja na watanzania wote ni wamoja katika mambo yote yanayohusu taifa letu, ikiwemo mambo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa, na wote kama watanzania tuna stahiki kupata mambo haya kwa usawa.

Katika hali kama hiyo ya kupata hayo mambo kwa usawa, nasikitika kusema kuna kundi fulani la watu aidha hawapo tayari kutoa usawa huo ama hawajui kuwa ndio tamaduni na desturi yetu watanzania kushiriki kwa usawa kwenye mambo tajwa hapo juu.

Katika kulisisitiza hili, ningependa tutizame siasa za CHADEMA, hivi karibuni umefanyika uchaguzi wa madiwani kwenye zile kata ambazo madiwani wake aidha walitimuliwa ama walifariki hivyo kata kubaki wazi, katika chaguzi zile CHADEMA walifanya ubaguzi mkubwa mno.

Kata zilizo kuwana uchaguzi zilikuwa maeneo mbalimbali ya nchi, ikiwemo Mbeya, Morogoro, Mara na Manyara, lakini 'CHOPA' ya CHADEMA ilipaa Arusha tu na wala haikuchungulia sehemu nyingine yoyote hapa nchini.

Aidha, huko Arusha 'CHOPA' ya CHADEMA ilikuwa busy kwenye kata zote, yani haikuwahi kutokea kampeni zifanywe bila matumizi ya 'CHOPA' hiyo kwa kipindi chote cha uchaguzi wa kata za pale Arusha.

Kama hiyo haitoshi, hivi sasa kamanda wa anga, bwana Mbowe, yupo Hai kama mbunge wa jimbo hilo, lakini kwa ubabe wake amehamua atumie 'CHOPA' hiyo kufanya shughuli zake zote, yani kama mbunge na pia mwenyekiti wa chama.

Kwa kufanywa hivyo inakuwa sio sawa, kama itakuwa hivyo basi na majimbo mengine nayo yapelekewa 'CHOPA' ya CHADEMA na isibaki Arusha na Moshi pekee, kwani ikiendelea hivyo itatafsiriwa kuwa CHADEMA ni chama cha ukanda.

ivi aunaga mada za kuleta huku [jf] maana kila siku ni chadema, chadema, au unatafu kuzawadiwa ukuu wa wilaya,,elkopta ya chadema inakuusu nini? unachangiaga hata mafuta? wewe badala ya kufatilia [ilani] na ahadi lukuki za kumtoa nyoka pangoni mlizowa danganya watanzania unabaki kuifatilia chadema? embu fikiria hili [maisha bora kwa kila mtanzania] je ni kweli mmewatimizia watanzania ihi kitu mlio aidi 2005? kama hamjatimiza hayo maisha bora, nyamaza ukalale,
 
Mkuu HAMY-D,

Hawa Bavicha ndiyo wanaichimbia kabuli Chadema.

Huyo kamanda uliyemjibu ananimbia Chopa haiwezi kwenda Ukerewe au Mwanza kisa kuna wabunge wa Chadema.

Namuuliza Arusha, Hai, Arumeru, hakuna wabunge wa Chadema haja jibu.

Ritz usitake niamini kwamba hata wewe huko UDSM ulitoka kapa hamna kitu kichwani
Kama unataka uaminishe wasoma jf kwamba kwa CHOPA kutokwenda sehemu ndio kuichimbia Cdm kaburi haiingii akilini kwamba watu watachagua mtu sababu Chopa imekwenda kwao
THINK BIG MULLER
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz,

Naona BAVICHA na akili zao za viroba hawana cha kutetea kuhusu ukanda unaofanywa na hao wafalme wa CHADEMA (Mbowe, Lema na Dr Slaa).
Waacheni CHADEMA na chopa zao,turudi kwenye chama chetu tukijenge,sisi tupo huku JF tuna jidanganya kujaza threads zenye propaganda chafu za kuwapondea hao jamaa ambazo hazina uwezo wa kumbadilisha Mtanzania anaye ipenda CHADEMA kuhamia CCM. Mimi nadhani ndugu zangu wana CCM tujikite na kukijenga chama,tuachane na propaganda
 
Mkuu HAMY-D,

Hawa Bavicha ndiyo wanaichimbia kabuli Chadema.

Huyo kamanda uliyemjibu ananimbia Chopa haiwezi kwenda Ukerewe au Mwanza kisa kuna wabunge wa Chadema.

Namuuliza Arusha, Hai, Arumeru, hakuna wabunge wa Chadema haja jibu.

Mkuu Ritz
Acha kujishusha hadhi,kweli na wewe una amini kuwa chopa isipoenda sehemu watu wa hilo eneo ambamo chopa haijaenda hawata kichagua hicho chama? Are u sure?
 
Mkuu Ritz,

Naona BAVICHA na akili zao za viroba hawana cha kutetea kuhusu ukanda unaofanywa na hao wafalme wa CHADEMA (Mbowe, Lema na Dr Slaa).

na hizi ndio akili za ccm,,,,,:A S-confused1: ,,,,nandio maana kwa miaka 50 nchi bado maskini,
 
ivi aunaga mada za kuleta huku [jf] maana kila siku ni chadema, chadema, au unatafu kuzawadiwa ukuu wa wilaya,,elkopta ya chadema inakuusu nini? unachangiaga hata mafuta? wewe badala ya kufatilia [ilani] na ahadi lukuki za kumtoa nyoka pangoni mlizowa danganya watanzania unabaki kuifatilia chadema? embu fikiria hili [maisha bora kwa kila mtanzania] je ni kweli mmewatimizia watanzania ihi kitu mlio aidi 2005? kama hamjatimiza hayo maisha bora, nyamaza ukalale,

Kweli wewe BAVICHA, mada inajieleza kuwa ni jinsi gani CHADEMA inafanya siasa za ukanda, nimeweka CHOPA kama kithibitisho cha hoja yangu, ila wewe BAVICHA bado unauliza eti CHOPA ya CHADEMA inanihusu nini?

Halafu, hivi hujui mafuta na matengenezo ya CHOPA hiyo yanatokana na pesa ya ruzuku ambayo ni karibu 90% ya matumizi yote yanayo fanywa na CHADEMA?
 
Mkuu Ritz
Acha kujishusha hadhi,kweli na wewe una amini kuwa chopa isipoenda sehemu watu wa hilo eneo ambamo chopa haijaenda hawata kichagua hicho chama? Are u sure?

Tujuze ni kwanini Mbowe alitumia CHOPA katika kampeni za urais mwaka 2005?

Hapa ndipo nitajua uwezo wako wa kufikiri ukoje.
 
Mkuu HAMY-D,

Hawa Bavicha ndiyo wanaichimbia kabuli Chadema.

Huyo kamanda uliyemjibu ananimbia Chopa haiwezi kwenda Ukerewe au Mwanza kisa kuna wabunge wa Chadema.

Namuuliza Arusha, Hai, Arumeru, hakuna wabunge wa Chadema haja jibu.

wacha ujuya wewe,kwenye kampeni za meru ni nini kilitumika?kama hujui mwulize mwigulu atakwambia, hai kwenye msiba wa mwenyekiti wa ccm arusha ndugu kileo elkopta ilikwenda,mwuhulize, lowasa,na kinana, wachakuleta hoja za kutafuta kuzawadiwa ukuu wa wilaya,
 
Back
Top Bottom