Hivi 'chopa' ya CHADEMA inatumika Arusha na Moshi pekee?

Hatutaki watanzania washabikie chama cha kikanda!

Kuna malalamiko ya wazi kila siku bungeni kuwa kanda fulani zimeendelea zaidi ya kanda fulani kinara wa hoja hii ni Mh. John Komba...na wabunge wengi wa CCM wanataka zamu ya kanda za kusini ianze sasa... kwa mantiki hii bado haupati picha UKANDA unafanywa na chama gani? Pemba kuna hata Uwanja wa ndege wa maana?
 
Hvi kumbe tanga nako ni arusha.....maana niliona ikienda tanga kwenye kampeni za udiwani!!!!!!

Chopa ziko mbili, Tanga ilienda iliyo mbeba Mbowe tu na ni kwa ajili yake yeye pekee, na haikuwa ya kampeni, ila Arusha ilikuwepo kwa ajili ya kampeni, sasa kwanini maeneo mengine chopa haikupelekwa kwa ajili ya kampeni?, kwanini Arusha pekee halafu ukizingatia Arusha ni ngome yao, chopa ya nini sasa?
 
WanaJF!

Ni imani yangu tuna tambua kuwa Tanzania yetu ni moja na watanzania wote ni wamoja katika mambo yote yanayohusu taifa letu, ikiwemo mambo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa, na wote kama watanzania tuna stahiki kupata mambo haya kwa usawa.

Katika hali kama hiyo ya kupata hayo mambo kwa usawa, nasikitika kusema kuna kundi fulani la watu aidha hawapo tayari kutoa usawa huo ama hawajui kuwa ndio tamaduni na desturi yetu watanzania kushiriki kwa usawa kwenye mambo tajwa hapo juu.

Katika kulisisitiza hili, ningependa tutizame siasa za CHADEMA, hivi karibuni umefanyika uchaguzi wa madiwani kwenye zile kata ambazo madiwani wake aidha walitimuliwa ama walifariki hivyo kata kubaki wazi, katika chaguzi zile CHADEMA walifanya ubaguzi mkubwa mno.

Kata zilizo kuwana uchaguzi zilikuwa maeneo mbalimbali ya nchi, ikiwemo Mbeya, Morogoro, Mara na Manyara, lakini 'CHOPA' ya CHADEMA ilipaa Arusha tu na wala haikuchungulia sehemu nyingine yoyote hapa nchini.

Aidha, huko Arusha 'CHOPA' ya CHADEMA ilikuwa busy kwenye kata zote, yani haikuwahi kutokea kampeni zifanywe bila matumizi ya 'CHOPA' hiyo kwa kipindi chote cha uchaguzi wa kata za pale Arusha.

Kama hiyo haitoshi, hivi sasa kamanda wa anga, bwana Mbowe, yupo Hai kama mbunge wa jimbo hilo, lakini kwa ubabe wake amehamua atumie 'CHOPA' hiyo kufanya shughuli zake zote, yani kama mbunge na pia mwenyekiti wa chama.

Kwa kufanywa hivyo inakuwa sio sawa, kama itakuwa hivyo basi na majimbo mengine nayo yapelekewa 'CHOPA' ya CHADEMA na isibaki Arusha na Moshi pekee, kwani ikiendelea hivyo itatafsiriwa kuwa CHADEMA ni chama cha ukanda.
Tangu nilipo jiunga hapa jf hakuna mtu mwenye uwezo mdogo wa kutazama mambo kama wewe Hamy D, mana huwa unatazama mabo kwa jicho la karibu mno mi nadhani ungetoa effect za kuto tumia chopa katika kata zingine ambazo ni kubwa ikiwa ni pamoja na kupoteza viti vya udiwani ktk maeneo ambayo chopa haikutumika, Alafu CHADEMA ni chama makini kina mipango ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, katika hilo waliangalia sehemu ambayo wakicheza kidogo tu MAGAMBA wangeweza kuchakachua matokeo au kucheza lafu yoyote tangu wakati wa kampeni mpaka uchaguzi na ndo mana arusha tumechukua kata zote na kutetea kata zote ambazo zilikuwa zipo chini yetu.
Swala la kamanda wa anga kutumia chopa hai wewe inakuhusu nini, ukiona hivo ujue chama kimetoa idhini kwa yeye kutumia chopa hiyo na kwa taalifa sio muda kamanda wa anga atakuwa mby na chopa hiyo hiyo unayo isema wewe
Kama tanzania ni moja na unataka usawa ungeanza na wana CCM wenzako ambao kwa asilimia 99% hawaitaji usawa kwa tanzania hii ktk mambo mbali mbali tena ya muhimu ktk mustakabali wa ustawi wa taifa hili mana wanajianzishia makampuni hewa tunaona, wanafuja mali za umma tunaona wanauza madawa ya kulevya na kuharibu vijana wetu tunaona, vitisho kwa wanachi wanao dai haki tunaona, matumizi mabaya ya jeshi na taasisi zingine za umma THINK BIG ITAKUSAIDIA.
 
ulitaka mama'ko nae apewe visit ya chopa? Haya tuma maombi Makamanda hawana hiyana watamtembelea tu! hadi kunako.

Kwa kusema hivi unaweza kuona umemtukana mama yangu kumbe umetukana wanawake wote, sasa sijui kwanini pro CHADEMA mnakuwa na matusi kwa wazazi hivi?
 
hakuna sehemu ambayo kaka, kamanda Mbowe ajawai kukanyaga na Chopa tz hii, adi ccm wakaiga nao wakaja na za kwao eti cdm wanapendwa kasababu mboe anatumia chopa na sisi tutumie ili tuwe sawa ikala kwao.. Unafikiri jina kamanda wa anga limekuja hivihivi..hamd jifunze kujenga propaganda huwa wezako hawafanyi hivyo
 
WanaJF!

Ni imani yangu tuna tambua kuwa Tanzania yetu ni moja na watanzania wote ni wamoja katika mambo yote yanayohusu taifa letu, ikiwemo mambo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa, na wote kama watanzania tuna stahiki kupata mambo haya kwa usawa.

Katika hali kama hiyo ya kupata hayo mambo kwa usawa, nasikitika kusema kuna kundi fulani la watu aidha hawapo tayari kutoa usawa huo ama hawajui kuwa ndio tamaduni na desturi yetu watanzania kushiriki kwa usawa kwenye mambo tajwa hapo juu.

Katika kulisisitiza hili, ningependa tutizame siasa za CHADEMA, hivi karibuni umefanyika uchaguzi wa madiwani kwenye zile kata ambazo madiwani wake aidha walitimuliwa ama walifariki hivyo kata kubaki wazi, katika chaguzi zile CHADEMA walifanya ubaguzi mkubwa mno.

Kata zilizo kuwana uchaguzi zilikuwa maeneo mbalimbali ya nchi, ikiwemo Mbeya, Morogoro, Mara na Manyara, lakini 'CHOPA' ya CHADEMA ilipaa Arusha tu na wala haikuchungulia sehemu nyingine yoyote hapa nchini.

Aidha, huko Arusha 'CHOPA' ya CHADEMA ilikuwa busy kwenye kata zote, yani haikuwahi kutokea kampeni zifanywe bila matumizi ya 'CHOPA' hiyo kwa kipindi chote cha uchaguzi wa kata za pale Arusha.

Kama hiyo haitoshi, hivi sasa kamanda wa anga, bwana Mbowe, yupo Hai kama mbunge wa jimbo hilo, lakini kwa ubabe wake amehamua atumie 'CHOPA' hiyo kufanya shughuli zake zote, yani kama mbunge na pia mwenyekiti wa chama.

Kwa kufanywa hivyo inakuwa sio sawa, kama itakuwa hivyo basi na majimbo mengine nayo yapelekewa 'CHOPA' ya CHADEMA na isibaki Arusha na Moshi pekee, kwani ikiendelea hivyo itatafsiriwa kuwa CHADEMA ni chama cha ukanda.

Chopa ya CHADEMA ina kuhusu nini? Wewe kula kukicha unawaza CHADEMA,Mbowe,Slaa,hivi hauna kitu chochote cha maendeleo utakacho kisema kwa manufaa ya Taifa letu na chama chetu kwa ujumla? Unadhani kuna mtu atafuata au kuamini huu utumbo wako unao uandika kila siku? Nina amini CCM hatuna vilaza kama wewe,wewe ni mtu tu wa mtaani unaejitwika jina la mwanachama wa CCM,peleka pumba zako jalalani au na cyo huku jamvini
 
hii chopa ilinunuliwa kwa malengo maalumu hasa kwa maeneo uliyoyataja watu wengine na mikoa mingine haiwahusu hata hivyo chadema ni chama cha mikoa furani hasa maeneo uliyoyataja.
 
Chopa ya CHADEMA ina kuhusu nini? Wewe kula kukicha unawaza CHADEMA,Mbowe,Slaa,hivi hauna kitu chochote cha maendeleo utakacho kisema kwa manufaa ya Taifa letu na chama chetu kwa ujumla? Unadhani kuna mtu atafuata au kuamini huu utumbo wako unao uandika kila siku? Nina amini CCM hatuna vilaza kama wewe,wewe ni mtu tu wa mtaani unaejitwika jina la mwanachama wa CCM,peleka pumba zako jalalani au na cyo huku jamvini

CCM sio chama cha kibaguzi, kina wasomi na wasio wasomi, hao watu wa mitaani ndio tuna wahitaji kweli ndani ya CCM kokote walipo CCM ipo na ina wahitaji, sasa kama ulidhani CCM ipo kwa ajili ya kundi fulani la watu basi hiyo sio CCM ya mwenyekiti wake Kikwete, labda hiyo unaijua wewe.
 
Chopa ya CHADEMA ina kuhusu nini? Wewe kula kukicha unawaza CHADEMA,Mbowe,Slaa,hivi hauna kitu chochote cha maendeleo utakacho kisema kwa manufaa ya Taifa letu na chama chetu kwa ujumla? Unadhani kuna mtu atafuata au kuamini huu utumbo wako unao uandika kila siku? Nina amini CCM hatuna vilaza kama wewe,wewe ni mtu tu wa mtaani unaejitwika jina la mwanachama wa CCM,peleka pumba zako jalalani au na cyo huku jamvini

mkuu tayari povu kibao wazee wameguswa pole mkuu.
 
Chopa ziko mbili, Tanga ilienda iliyo mbeba Mbowe tu na ni kwa ajili yake yeye pekee, na haikuwa ya kampeni, ila Arusha ilikuwepo kwa ajili ya kampeni, sasa kwanini maeneo mengine chopa haikupelekwa kwa ajili ya kampeni?, kwanini Arusha pekee halafu ukizingatia Arusha ni ngome yao, chopa ya nini sasa?

mkuu hapo kakuambia ilinda Tanga kwa ajili ya kampeni wewe unakataa sio kwajili ya kampeni basi tuambie ilienda kwa ajili ya nn? Hivi unakili timamu kweli?
 
mkuu tayari povu kibao wazee wameguswa pole mkuu.

Mkuu,

Jamaa anatuletea ubaguzi kama wanao fanyiana CHADEMA, CCM ni ya watanzania wote, yani kila raia wa Tanzania ana haki sawa ndani ya CCM, hata asiyekuwa na kadi ya chama, CCM ina mtambua kuwa ni sehemu ya chama chetu.

CCM yatosha!
 
Umeolewa wewe? Nahitaji kuleta posa kwenu tuwasiliane au ni demu wa Mwigulu? Nisijechomwa na Tindikali ndio mchezo wenu siku hizi halafu mnatangaza uchunguzi unafanyika usioisha na hawakamatwi

Mkikosa hoja mnaanza viroja.
 
Tangu nilipo jiunga hapa jf hakuna mtu mwenye uwezo mdogo wa kutazama mambo kama wewe Hamy D, mana huwa unatazama mabo kwa jicho la karibu mno mi nadhani ungetoa effect za kuto tumia chopa katika kata zingine ambazo ni kubwa ikiwa ni pamoja na kupoteza viti vya udiwani ktk maeneo ambayo chopa haikutumika, Alafu CHADEMA ni chama makini kina mipango ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, katika hilo waliangalia sehemu ambayo wakicheza kidogo tu MAGAMBA wangeweza kuchakachua matokeo au kucheza lafu yoyote tangu wakati wa kampeni mpaka uchaguzi na ndo mana arusha tumechukua kata zote na kutetea kata zote ambazo zilikuwa zipo chini yetu.
Swala la kamanda wa anga kutumia chopa hai wewe inakuhusu nini, ukiona hivo ujue chama kimetoa idhini kwa yeye kutumia chopa hiyo na kwa taalifa sio muda kamanda wa anga atakuwa mby na chopa hiyo hiyo unayo isema wewe
Kama tanzania ni moja na unataka usawa ungeanza na wana CCM wenzako ambao kwa asilimia 99% hawaitaji usawa kwa tanzania hii ktk mambo mbali mbali tena ya muhimu ktk mustakabali wa ustawi wa taifa hili mana wanajianzishia makampuni hewa tunaona, wanafuja mali za umma tunaona wanauza madawa ya kulevya na kuharibu vijana wetu tunaona, vitisho kwa wanachi wanao dai haki tunaona, matumizi mabaya ya jeshi na taasisi zingine za umma THINK BIG ITAKUSAIDIA.
Mkuu ONE TWO,huyu jamaa ni janga,anajifanya much know eti akijidai anaichafua CHADEMA kumbe anaipaisha kwa kuionyesha jamii kuwa kuna baadhi yetu sisi wana CCM ni mambulula kutokana na hoja za kitoto za huyu jamaa,sijui hata yukoje
 
mkuu hapo kakuambia ilinda Tanga kwa ajili ya kampeni wewe unakataa sio kwajili ya kampeni basi tuambie ilienda kwa ajili ya nn? Hivi unakili timamu kweli?

Hivi wewe unajielewa kweli?

Nani kakwambia Mbowe alifanya Kampeni?

Nimeeleza, ile chopa ya Mbowe ni kwa ajili yake kama mwenyekiti wa chama, na alienda kwa ajili ya kutembelea tu kutembelea kampeni ila hakuwa sehemu ya waliofanya kampeni zile, lengo kuu ilikuwa kuvuna posho za chama, kwa kuwa impact yake Tanga haikuonekana.
 
WanaJF!

Ni imani yangu tuna tambua kuwa Tanzania yetu ni moja na watanzania wote ni wamoja katika mambo yote yanayohusu taifa letu, ikiwemo mambo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa, na wote kama watanzania tuna stahiki kupata mambo haya kwa usawa.

Katika hali kama hiyo ya kupata hayo mambo kwa usawa, nasikitika kusema kuna kundi fulani la watu aidha hawapo tayari kutoa usawa huo ama hawajui kuwa ndio tamaduni na desturi yetu watanzania kushiriki kwa usawa kwenye mambo tajwa hapo juu.

Katika kulisisitiza hili, ningependa tutizame siasa za CHADEMA, hivi karibuni umefanyika uchaguzi wa madiwani kwenye zile kata ambazo madiwani wake aidha walitimuliwa ama walifariki hivyo kata kubaki wazi, katika chaguzi zile CHADEMA walifanya ubaguzi mkubwa mno.

Kata zilizo kuwana uchaguzi zilikuwa maeneo mbalimbali ya nchi, ikiwemo Mbeya, Morogoro, Mara na Manyara, lakini 'CHOPA' ya CHADEMA ilipaa Arusha tu na wala haikuchungulia sehemu nyingine yoyote hapa nchini.

Aidha, huko Arusha 'CHOPA' ya CHADEMA ilikuwa busy kwenye kata zote, yani haikuwahi kutokea kampeni zifanywe bila matumizi ya 'CHOPA' hiyo kwa kipindi chote cha uchaguzi wa kata za pale Arusha.

Kama hiyo haitoshi, hivi sasa kamanda wa anga, bwana Mbowe, yupo Hai kama mbunge wa jimbo hilo, lakini kwa ubabe wake amehamua atumie 'CHOPA' hiyo kufanya shughuli zake zote, yani kama mbunge na pia mwenyekiti wa chama.

Kwa kufanywa hivyo inakuwa sio sawa, kama itakuwa hivyo basi na majimbo mengine nayo yapelekewa 'CHOPA' ya CHADEMA na isibaki Arusha na Moshi pekee, kwani ikiendelea hivyo itatafsiriwa kuwa CHADEMA ni chama cha ukanda.

wewe ni mwongo chopa arusha ilitumika kwenye ufunguzi wa kampeni na kufunga kampeni tena Mbowe alipita nayo Singida, babati, mbulu, monduli nakumalizia na Arusha
 
CHADEMA kuna chopa ngapi?
 
Sinahakika km HAMY-D ni mzalendo, anakataa ukweli kwa kuukumbatia uongo zipo takriban Kanda 7 (Pwani,Nyanda za Juu na kati, Ziwa, Magharibi, Mashariki, Kusini na Kaskazini)

Hospitali za rufaa ziko ngapi na wapi? Viwanja vya ndege vya kimataifa vingapi na viko wapi, viwanda vya saruji viko wapi na vingapi, Gridi ya Umeme kitaifa iko wapi .... ! nimetaja maeneo haya machache ili kuonyesha jinsi ambavyo Ujimbo unaoukataa kwa kuutolea mfano wa CHOPA ni sawa na UJIMBO wa maeneo hayo tajwa? Viwanda na Umeme ni maeneo yanayohitajika kumwendeleza Mtanzania ... Leo umeona CHOPA ndiyo msingi wa maendeleo? Je ikitokea kweli CDM wameweza kuwa na CHOPA kila mahali Tanzania inamaana sawa na kutokuwa na Ujimbo? Au kukosekana kwa CHOPA Mwanza na kwingineko kumewapunguzia nini wananchi wa Mwanza?
 
Back
Top Bottom