Hivi 'chopa' ya CHADEMA inatumika Arusha na Moshi pekee?

Hivi 'chopa' ya CHADEMA inatumika Arusha na Moshi pekee?

Tena Zanzibar usiitaje kabisa, huko chadema hawatakiwi kabisa.

CCM haitakiwi kabisa tanzania nzima,haswa pemba!MBONA MIRADI YOTE IMEELEKEZWA BAGAMOYO wakati tabora,kigoma,rukwa,lindi,singida wanakufa njaa
 
WanaJF!

Ni imani yangu tuna tambua kuwa Tanzania yetu ni moja na watanzania wote ni wamoja katika mambo yote yanayohusu taifa letu, ikiwemo mambo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa, na wote kama watanzania tuna stahiki kupata mambo haya kwa usawa.

Katika hali kama hiyo ya kupata hayo mambo kwa usawa, nasikitika kusema kuna kundi fulani la watu aidha hawapo tayari kutoa usawa huo ama hawajui kuwa ndio tamaduni na desturi yetu watanzania kushiriki kwa usawa kwenye mambo tajwa hapo juu.

Katika kulisisitiza hili, ningependa tutizame siasa za CHADEMA, hivi karibuni umefanyika uchaguzi wa madiwani kwenye zile kata ambazo madiwani wake aidha walitimuliwa ama walifariki hivyo kata kubaki wazi, katika chaguzi zile CHADEMA walifanya ubaguzi mkubwa mno.

Kata zilizo kuwana uchaguzi zilikuwa maeneo mbalimbali ya nchi, ikiwemo Mbeya, Morogoro, Mara na Manyara, lakini 'CHOPA' ya CHADEMA ilipaa Arusha tu na wala haikuchungulia sehemu nyingine yoyote hapa nchini.

Aidha, huko Arusha 'CHOPA' ya CHADEMA ilikuwa busy kwenye kata zote, yani haikuwahi kutokea kampeni zifanywe bila matumizi ya 'CHOPA' hiyo kwa kipindi chote cha uchaguzi wa kata za pale Arusha.

Kama hiyo haitoshi, hivi sasa kamanda wa anga, bwana Mbowe, yupo Hai kama mbunge wa jimbo hilo, lakini kwa ubabe wake amehamua atumie 'CHOPA' hiyo kufanya shughuli zake zote, yani kama mbunge na pia mwenyekiti wa chama.

Kwa kufanywa hivyo inakuwa sio sawa, kama itakuwa hivyo basi na majimbo mengine nayo yapelekewa 'CHOPA' ya CHADEMA na isibaki Arusha na Moshi pekee, kwani ikiendelea hivyo itatafsiriwa kuwa CHADEMA ni chama cha ukanda.
Hivi Hamy-d utakuwa mropokaji mpaka lini?
Nani kakwambia kuwa chopa ilitumika kwenye kampeni zote za Arusha? Kwa taarifa yako chopa ilitumika kwenye uzinduzi wa kampeni za Arusha tu na siku zilizobakia kamanda lema alikuwa anapiga kampeni kwa kutumia magari na bodaboda tu. Na siku ya kuitimisha kampeni kamanda Mboe alitumia chopa kuzunguka kata zote tz zilizokuwa na uchaguzi na Arusha alitua saa 4:20pm. Hapo inaonyesha jinsi gani HAMY-D unaropoka na zaidi tunaona jinsi gani akili za mabosi wako Nape na Mwigulu zinavyofanya kazi kwa kurudi nyuma.
 
Ni kweli, kwa kuwa Zanzibar wanatakiwa wamwaga tindikali na waliberalli.

Kabisa tena, chadema NO. Big NO. hivi mna hata sheha kule? Hawatakiwi kule wachungaji walio asi na wizi wa wake za watu.
 
Ukishajua ni kwanini itakusaidia nini? Ungekuwa na mawazo hai ungemsaidia nape na hoja yake ya ajira kuliko kukimbilia hili ambalo halikisaidii chama chako cha magamba.

Hatutaki watanzania washabikie chama cha kikanda!
 
CHOPA itumike,isitumike hawa jamaa wa chadema huwa wanashinda tu pale uchaguzi unapoitishwa,hadi sasa chama chetu cha kijani hakina amani uchaguzi ukiitishwa,tuache kuzunguka tuseme kweli chama chetu cha kijani kinapoteza mvuto,itumike chopa au isipotumika
 
hakuna uchaguzi cdm wamepata kura zero, so hawatakiwi vipi? sema unawaombea njaa ambyo sio lazima iwashike

Huyo aliyoipa kura chadema aidha ni mvivu wa kufikiri au ni msukule unaofanya usilolijuwa mradi mchungaji kasema. Na hilo si kwa Zanzibar tu, ni nchi nzima.
 
CCM haitakiwi kabisa tanzania nzima,haswa pemba!MBONA MIRADI YOTE IMEELEKEZWA BAGAMOYO wakati tabora,kigoma,rukwa,lindi,singida wanakufa njaa

Bagamoyo imeelekezwa miradi mingapi?, acha uongo mkuu, zaidi ya ujengaji wa bandari kuna mradi gani mwingine mkubwa Bagamoyo?, na kuhusu hayo maeneo mengine, hujui miradi iliyopo Lindi?, Tabora sasa wananeemeka na ujenzi wa barabara, viwanja vya ndege vinajengwa etc

Haya huyaoni?
 
Hoja hapa ni kwanini 'CHOPA' ya CHADEMA itumike Arusha na Moshi?, kwani Mbeya CHADEMA haina wapenza na mashabiki?, mbona Chopa haikwenda huko katika chaguzi za kata na kuimarisha chama?

Ni kawaida kwa watu ambao wanafanya mapenzi kinyume na maumbile kuwashwa anapohitaji huduma hiyo kama wewe unavyohitaji sasa unawashwa,bahati mbaya hamna anaefanya kazi hiyo

Umeachana na Dr Slaa,Mbowe na Chadema sasa umeanza CHOPA inakuhusu nini wewe?,hata kama inafanya kazi Arusha na Moshi ulishawawekea mafuta hata siku moja? Mbona unatabia za kike za kufatilia mambo ya Wanaume? Mbona haujadili mauzo ya unga hapa nchini? Au kwa sababu we ni muuzaji? Hebu acha upumbavu we kibweengo mind your business
 
Huyo aliyoipa kura chadema aidha ni mvivu wa kufikiri au ni msukule unaofanya usilolijuwa mradi mchungaji kasema. Na hilo si kwa Zanzibar tu, ni nchi nzima.

We hayawani wa kike hivi Zanzibar wanakaa watu au hayawani? Tena fisi wanaopenda kuona damu za watu zikimwagika,kwa risasi,kiwamwagia watu wasio na hatia tindikali hakufai kuishi watu huko ni matatizo,halafi Chadema ni chama cha Tanganyika sio cha Zanzibar,wanataka kuvunja muungano kwa tamaa ya Madaraka akima Sharif Hamad na Karume haina haja Cdm kuwa Zanziba ile ni nchi nyingine apart from Tanganyika
 
WanaJF!

Ni imani yangu tuna tambua kuwa Tanzania yetu ni moja na watanzania wote ni wamoja katika mambo yote yanayohusu taifa letu, ikiwemo mambo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa, na wote kama watanzania tuna stahiki kupata mambo haya kwa usawa.

Katika hali kama hiyo ya kupata hayo mambo kwa usawa, nasikitika kusema kuna kundi fulani la watu aidha hawapo tayari kutoa usawa huo ama hawajui kuwa ndio tamaduni na desturi yetu watanzania kushiriki kwa usawa kwenye mambo tajwa hapo juu.

Katika kulisisitiza hili, ningependa tutizame siasa za CHADEMA, hivi karibuni umefanyika uchaguzi wa madiwani kwenye zile kata ambazo madiwani wake aidha walitimuliwa ama walifariki hivyo kata kubaki wazi, katika chaguzi zile CHADEMA walifanya ubaguzi mkubwa mno.

Kata zilizo kuwana uchaguzi zilikuwa maeneo mbalimbali ya nchi, ikiwemo Mbeya, Morogoro, Mara na Manyara, lakini 'CHOPA' ya CHADEMA ilipaa Arusha tu na wala haikuchungulia sehemu nyingine yoyote hapa nchini.

Aidha, huko Arusha 'CHOPA' ya CHADEMA ilikuwa busy kwenye kata zote, yani haikuwahi kutokea kampeni zifanywe bila matumizi ya 'CHOPA' hiyo kwa kipindi chote cha uchaguzi wa kata za pale Arusha.

Kama hiyo haitoshi, hivi sasa kamanda wa anga, bwana Mbowe, yupo Hai kama mbunge wa jimbo hilo, lakini kwa ubabe wake amehamua atumie 'CHOPA' hiyo kufanya shughuli zake zote, yani kama mbunge na pia mwenyekiti wa chama.

Kwa kufanywa hivyo inakuwa sio sawa, kama itakuwa hivyo basi na majimbo mengine nayo yapelekewa 'CHOPA' ya CHADEMA na isibaki Arusha na Moshi pekee, kwani ikiendelea hivyo itatafsiriwa kuwa CHADEMA ni chama cha ukanda.
Kumbe shida ya Watanzania ni kuona "CHOPA". Hii HOJA haikwenda mbali na urefu wa "PUA"
Ok!
Mshauri Mkuu wa nchi na Mawaziri wenye dhamana ya kutatua matatizo ya wananchi wawe wanazitumia katika ziara zao nchini ili tuwe "SAWA" nchi nzima.
 
kwanini Kikwete ni nani?, mbona yeye uwa hana hizo anasa anazofanya Mbowe?, unasema Mbowe yuko bize kuliko JK hawapo nchini?
Avator yako inashabihiana sana na wewe, lazima una maradhi sugu yanayokusumbua, wakati mwingi huishia kuwadhalilisha waliokutuma eti JK awapo nchini???!!! Kwani JK ni Rais wa nchi gani mpaka asiwepo nchini au kunakitu unataka kuwaambia watanzania ila umesahau?
Chopa ya CHADEMA inahusika vipi na tatizo la:
Ajira, kupanda kwa gharama za maisha, huduma duni za tiba, kuangaka kwa elimu na tatizo la elimu, mishahara duni, mfumuko mkuwa wa bei, ufisadi kwenye dhahabu, almasi, uranium, gas, mashamba na ranch za taifa, usafirishaji wa dawa za kulevya, kuuawa kwa Tembo wetu, utekaji, utesaji na uuaji wa raia wasiokuwa na hatia? yaani wewe ndo wamekuweka mhariri mkuu wa gazeti la uhuru-ccm? hawana mwingine mwenye afadhali kidogo? Nape vipi, umewatoa wapi hawa waliougua na wanaoendelea kuugua tetekuwanga na surua kwenye bongo zao?...mnataka CCM isiwekwe hata kwenye kumbukumbu za kale?...zile alama za Jembe na Nyundo tunahitaji kuzihifadhi jamani...
 
Ni kawaida kwa watu ambao wanafanya mapenzi kinyume na maumbile kuwashwa anapohitaji huduma hiyo kama wewe unavyohitaji sasa unawashwa,bahati mbaya hamna anaefanya kazi hiyo

Umeachana na Dr Slaa,Mbowe na Chadema sasa umeanza CHOPA inakuhusu nini wewe?,hata kama inafanya kazi Arusha na Moshi ulishawawekea mafuta hata siku moja? Mbona unatabia za kike za kufatilia mambo ya Wanaume? Mbona haujadili mauzo ya unga hapa nchini? Au kwa sababu we ni muuzaji? Hebu acha upumbavu we kibweengo mind your business

mkuu naona umevua nguo huyo Dada...
 
Usikimbie mada, mada haiongelei uchaguzi mkuu, kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2011 CHADEMA imekuwa ikifanya siasa na 'CHOPA' hapo Arusha tu, kama unabisha, ni kwanini kwenye uchaguzi wa madiwani chopa haikuvuka mipaka ya Arusha?

Ndiyo inatumika A town na Moshi tu! Unatakaje?
 
Huyo aliyoipa kura chadema aidha ni mvivu wa kufikiri au ni msukule unaofanya usilolijuwa mradi mchungaji kasema. Na hilo si kwa Zanzibar tu, ni nchi nzima.

Zanzibar misukule inatembea hadharani? maana naona huko ndo uharibifu dhidi ya binadamu ni mkubwa, muulize Karume
 
Kabisa tena, chadema NO. Big NO. hivi mna hata sheha kule? Hawatakiwi kule wachungaji walio asi na wizi wa wake za watu.

Umeolewa wewe? Nahitaji kuleta posa kwenu tuwasiliane au ni demu wa Mwigulu? Nisijechomwa na Tindikali ndio mchezo wenu siku hizi halafu mnatangaza uchunguzi unafanyika usioisha na hawakamatwi
 
Hvi kumbe tanga nako ni arusha.....maana niliona ikienda tanga kwenye kampeni za udiwani!!!!!!
 
Huko Mbeya CHADEMA wanaanza kushitukiwa, watu wa Mbeya wanaona wanavyotumika kubeba miizgo mizito ya bwana wao kama punda.

Mkuu,

Watanzania wote inabidi wawatambue hawa CHADEMA ni nani hasa?

Ukisema CHADEMA ujue ni Mbowe, Lema, Ndesamburo, Dr Slaa na mzee Mtei, nje ya hawa huyo ni mpita njia tu. Nimefurahi kuona Mbeya wamewashtukia hawa wabaguzi.
 
Back
Top Bottom