Hivi China kuna njaa kali hadi raia zake wako radhi kufa kufika Ulaya/Uingereza

Maneno yako yamenigusa Sana! Daaah
 

Watu wanafata democracy!

Wanafata freedom!

Halafu kilaza Jiwe anafuata Chinese totalitarian model!

What a bogus
 
Mleta mada, ukiona mtu katoka sehemu ya mbali kuja kuwekeza hapa Tanzania katika kuuza kahawa na kashata pamoja na kuchoma mahindi misikitini juwa huyo ana uwalakini huko anakotoka. Licha ya yote, Kikwete na mwanaye Ridhiwani ndiyo wanajuwa ukweli zaidi.
 
China kuna njaa Kali tu.Huoni raia wake wamekamatwa wanachimba madini kiholela bila vibali?Lini ulisikia mzungu Marekani,mwingereza,mjerumani au mfaransa amekamatwa kwenye deal za kipuuzi kama hizo?Mara wachina wameshikwa na pembe za ndovu.Akili za kichina ni za mafisiem!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…