Wapo idadi yao inaweza fika elfu 17 hivi.Maana viongozi wao wote waandamizi walikuaga hawana shughuli zozote za kiuchumi za kujipatia kipato na kwahivyo walitegemea zaidi kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara.
Hivi wale wangwana matapeli na ombaomba wa kisiasa wapo kweli? na wanajishughulisha na nini kwasasa tangu kusambaratika kwa chama chao na kitega uchumi chao kuingia mchanga?
Idadi yao nchi nzima wanaweza kufika mia5 kweli kwasasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kazi kubwa walionayo sasa nikukaa mitandaoni wakisubiri millard ayo apost waka comment,
JF mtu aandae uzi wake safi wavuruge huku wakisubiri hadithi za mwendomwendo na Mrs kimambi ili waje watusimulie.