Hivi CHADEMA bado wapo?


hivi siku hizi kila mtu hapo lumumba fc kageuka Yahaya? Utasubiri sana!
 

Hongera kwa kujinyakulia buku 7 bi Christina!
 
Hivi utajidanganya hadi lini hukuona picture juzi..hizi tabia za kupiga picture kabla ya tukio kuchanganya,kupiga picture mbele kabisa..na kwenda danganya watu..zina madhara kwa waliotuma....kuliko waliolengwa.Kwanini usipige pande zote kuthibitisha hilo..
 

Mkuu achana na huyu KULI dhulumati wa rambirambi za wajane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…