Hivi Cartoons kwa watoto tu?

me i dont care huwanaangalia,hapo mama watoto full kunipa mabango mie sijali.Kunasiku walikuja rafiki zake ndo nilimkera mara mia nilikuwa nimeconcetrate mie na dogo tunacheka kama nin,huko rafiki zake nikupigwa butwaa kama nini,yaani sie ndo hatuna habari..

 
kwahiyo we na dogo mna hobby sawa,kama inawafurahisha wote mbona raha
 
Hapana bana,mie napenda sana cartoons huwa nakaa na watoto kuangalia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ata kama yupo nani ikianza tom & jerry sina story na mtu
 
Katuni huwa zinachekesha sana na parts nyingi watoto hawaelewi sana nikienda cinema na princess nachekaaa sana dahhh..Turbo was nice tuliangalia mara ya mwisho!!
 
Hapana bana,mie napenda sana cartoons huwa nakaa na watoto kuangalia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
ila cartoon bhana kimtindo ukikutwa upo serious unaangalia lazima ushtuke
 
Katuni huwa zinachekesha sana na parts nyingi watoto hawaelewi sana nikienda cinema na princess nachekaaa sana dahhh..Turbo was nice tuliangalia mara ya mwisho!!
hehehe turbo pale inaisha nilimhurumiaje,pale ile gamba lake lilipoungua mpaka ikbidi ajikunje tu,aisee acha tu yaani inasisimua sana
 
Napenda movie animations zaidi ya cartoons...katuni pekee ninayoipenda labda ni Tommy n' Jerry maana huwa yaniondolea stress.

Nimeshaangalia animations nyingi hadi nyingine nimezisahau ila nizikumbukazo zilizonikosha ni Surf's Up, Kung Fu Panda zote, How to Train Your Dragon, Up, Ratatouille (panya chef lol), Ice Age zote na Madagascar zote (hapa namkumbuka Motomoto hahah)...
 
Zipo mpaka X-rated adult cartoons, strictly meant for adults.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…