Hivi cabinet ya JK ina vijana wangapi?

Hivi cabinet ya JK ina vijana wangapi?

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
906
I thought maybe January or Zitto would have been in his cabinet (regardless of your opinions)

by vijana I mean asiyezidi 35 yrs

surely this country cannot be let by a bunch of dinosaurs and its not helping ukizingatia 70% population yetu sasa hivi ni below 30 yrs na wattoto waliozaliwa 1991 mwaka jana wamepiga kura

JK should shave at least given a chance kwa vijana....kuhusu wanawake Im with opinion wachaguliewe based on merit na siyo tuu kwa sababu ni mwanamke kujaza quotas in other words wabunge wakuteuliwa wanawake isnt a way to go.

Mbaya zaidi vijana wengi cannot relate with our political elites ambao ni wazee na they care less about twitter/facebook generation ambao walisababisha mapinduzi Tunisia

JK should do something about this and look beyond partylines na kuwapa nafasi vijana. its so depressing kutazama picha za Cabinet yetu na mambo yanayoendelea
 
masha was there..........but now kuna wakuu wa wilaya baadhi yao fresh from college
 
Back
Top Bottom