Hivi Bunge Lilisha au Linaendelea?

Hivi Bunge Lilisha au Linaendelea?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,367
Reaction score
100,408
Habari za muda tena,

Nauliza swali, hivi bunge linaendela au wameshamaliza? Linanitia kichefuchefu tu, mara ukute robo tatu ya wabunge hawapo, waliopo wanasinzia tu... na kutumiana meseji za umb..eaaaa.

Sijui wako dunia gani
 
Back
Top Bottom