Hivi boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi?

Ila hata hivyo kosa langu...tulikuwa tunajadili simba mie nikataja huko united

Michezo ni topic pana, hata mimi nilichoandika kuhusu Simba vs Sevilla ni ushabiki, siyo uhalisia.

NB: Niko nasoma moto wako kwenye thread ya 10+ years age differential.
 
Michezo ni topic pana, hata mimi nilichoandika kuhusu Simba vs Sevilla ni ushabiki, siyo uhalisia.

NB: Niko nasoma moto wako kwenye thread ya 10+ years age differential.
Hahahah

Nabishana hadi naanza kusikia njaa sasa...ila lengo halikuwa kama wanavyomanisha ila wabadilike bhana
 
Nimekuzingua nini tena mpenzi
Nahisi kuna vivulana hapa vinakupigia misele huku nikikuona it's a matter of time watacheza heko ๐Ÿ’”๐Ÿ’”!! I'm not insecure my angel but oh Lord, my heart keep spinning every time I see that guy so called RRONDO akijifanya eti ndugu yako! Is he?
 
Boxer haifuliwi mzee baba. Ukifua ni kosa . Sijaona wameandija
Wash and Wear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ