tatizo baadhi ya wanafunzi (wengi wao) wanaendekeza sana starehe. mfano boom likitoka wanatumia kununua subwoofer, laptop, tv sim, nguo na viatu vizur ili ku show off kisha wiki ya tatu au ikizidi wiki ya 4, boom limeisha wakati hilo boom ni la wiki 8. na akiba hata hawaweki kama ikitokea boom likichelewa. ndio maana wengi wenu mnapata shida sasa. hata hivyo polen.

Huku ni kuwatega watoto wa kike,inajulikana wazi ratiba za vyuo,huu uzembe unatakiwa kupigawa kelele hivi sasa,fikiria huyo mwanachuo ni mwanao na sijui kama kweli atasoma huku akiwa na njaa na mawazo ya jinsiya kupata fedha,huku kweli ndio kuwajali wananchi,je huko bungeni mbona wanapata posho kila kukichwa hizo pesa zinatoka wapi au kwa wabunge pesa ipo kwa watoto wetu pesa hakuna.Kwahyo kununua laptop ni tatzo?kuwa na akili sio tu kuleta mambo ya ajabu hapa,tatzo ni kuchelewa ila sio matumizi,unajua kama limechelewa kwa wiki ya nne mpaka sasa? hyo bajeti unataka ipangweje? INTARAHAMWE MKUBWA WEWE!
tatizo baadhi ya wanafunzi (wengi wao) wanaendekeza sana starehe. mfano boom likitoka wanatumia kununua subwoofer, laptop, tv sim, nguo na viatu vizur ili ku show off kisha wiki ya tatu au ikizidi wiki ya 4, boom limeisha wakati hilo boom ni la wiki 8. na akiba hata hawaweki kama ikitokea boom likichelewa. ndio maana wengi wenu mnapata shida sasa. hata hivyo polen.
Huku ni kuwatega watoto wa kike,inajulikana wazi ratiba za vyuo,huu uzembe unatakiwa kupigawa kelele hivi sasa,fikiria huyo mwanachuo ni mwanao na sijui kama kweli atasoma huku akiwa na njaa na mawazo ya jinsiya kupata fedha,huku kweli ndio kuwajali wananchi,je huko bungeni mbona wanapata posho kila kukichwa hizo pesa zinatoka wapi au kwa wabunge pesa ipo kwa watoto wetu pesa hakuna.