Hivi bongo kuna mameneja wawili tu? Mbona wanajikomba sana hawa??

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,449
Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya cha bongofreva nadhani utaelewa, ila kama si mfuatiliaji basi kaa mbali maana hapa itakuwa ni lugha gongana
Kuna wasanii kibao hapa bongo na wana mameneja japo si wote wana mameneja. Ila cha kushangaza ni wawili tu ndio wanafahamika na wanajikombakomba sana kwenye media .Yaani wanapenda umaarufu sana hawa watu. Nao ni meneja wa WCB(babu tale) na meneja wa TMK na YAMOTO BAND(Saidi fela). Mbona mameneja wengine duniani kote wanakuwa bize na shughuri zao sasa vipi hawa wanajikombakomba sana kana kwamba wapo wao tu?
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
Unapozungumzia mameneja Tale na Fela kama ni wanamuziki ni sawa na kuwazungumzia Diamond, Kiba, Vee mtonyo n.k hawawezi kukauka kwenye media au kuwa level moja na Petii man kisa tu na yeye ni meneja..

Huko kujikomba unakozungumzia ni kupi???
 
Nazani unakosea kusema wanajikomba ispokuwa media za kibongo ndio zinawaandama sana na ndio maana wanaskika sana
 
wabongo bana..sasa unadhan bank managers hao? hao ni marketing so wakiuza sura ndo wanauza kazi......SMH
 
Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya cha bongofreva nadhani utaelewa, ila kama si mfuatiliaji basi kaa mbali maana hapa itakuwa ni lugha gongana
Kuna wasanii kibao hapa bongo na wana mameneja japo si wote wana mameneja. Ila cha kushangaza ni wawili tu ndio wanafahamika na wanajikombakomba sana kwenye media .Yaani wanapenda umaarufu sana hawa watu. Nao ni meneja wa WCB(babu tale) na meneja wa TMK na YAMOTO BAND(Saidi fela). Mbona mameneja wengine duniani kote wanakuwa bize na shughuri zao sasa vipi hawa wanajikombakomba sana kana kwamba wapo wao tu?
Ukiacha kujikomba kwao kama hivi umewachagukia hao tu ukawaandikia risala, utagundua hata wao hawajikombi, kwani akina HK na petit huwajui, tuambie basi wanafanyaga nini hao na uache kujikomba kwa hawa wa wcb?
 
we unam-manage msanii gani mkuu?.. na we kajikombe usikike bila hivyo utaishia kulalama tu ..hii ndo TZ mfumo wa maisha uko hivyo ...acha majungu ,unatakiwa kufwata trick anazotumia huyo manager na we umtoe msanii wako ....usiwe akili ndogozzz u le gadem mburulazzz know.
 
Hapo kina Babu Tale na Fellah wapo chini ya Ruge Mutahaba wa Clouds media ambaye ndiye anayemmiliki Diamond cku zote .

Ndiomaana hao mameneja wanajiachia sana na kujiamini.
 
Back
Top Bottom