Hivi Bombardier zipo hai kweli?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Naomba kuuliza jamani hasa kwenu MATAGA

Hivi Bombardier zinafanya kazi kweli au zimeshakufa?

Manake wiki Sasa inaisha hapa anga la mwanza naiona Airbus tu asubuhi,mchana na jioni

Bombardier zisizioni zinaruka kabisa wakati sio kawaida, eneo ninaloishi ni sehemu ambayo ndege zote zinazotua na kuruka uwanja wa Mwanza zinapita juu ya nyumba yangu lakini Mapangaboi siyaoni kabisa siku kadhaa sasa

Je, haya mapangaboi yapo wapi siku hizi?
 
Je haya mapangaboi yapo wapi siku hizi?
KWANI ZINAFAIDA GANII KWAAKOO?? JAMAA YENU MZEE WA KIKI SI ANASEMA HAYO NI MAENDELEO YA VITU??
 
Naomba kuuliza jamani hasa kwenu MATAGA

Hivi Bombardier zinafanya kazi kweli au zimeshakufa?

Manake wiki Sasa inaisha hapa anga la mwanza naiona Airbus tu asubuhi,mchana na jioni

Bombardier zisizioni zinaruka kabisa wakati sio kawaida, eneo ninaloishi ni sehemu ambayo ndege zote zinazotua na kuruka uwanja wa Mwanza zinapita juu ya nyumba yangu lakini Mapangaboi siyaoni kabisa siku kadhaa sasa

Je haya mapangaboi yapo wapi siku hizi?
Mkuu kuna viwanja vingine zinatua ama Muda wa kuruka umekwisha hivyo zimekwenda kufanyiwa services
 
Naomba kuuliza jamani hasa kwenu MATAGA

Hivi Bombardier zinafanya kazi kweli au zimeshakufa?

Manake wiki Sasa inaisha hapa anga la mwanza naiona Airbus tu asubuhi,mchana na jioni

Bombardier zisizioni zinaruka kabisa wakati sio kawaida, eneo ninaloishi ni sehemu ambayo ndege zote zinazotua na kuruka uwanja wa Mwanza zinapita juu ya nyumba yangu lakini Mapangaboi siyaoni kabisa siku kadhaa sasa

Je, haya mapangaboi yapo wapi siku hizi?
Mbona zipo mbili kila siku Dodoma! Wewe una wazimu kama Tundu Lissu si bure
 
Naomba kuuliza jamani hasa kwenu MATAGA

Hivi Bombardier zinafanya kazi kweli au zimeshakufa?

Manake wiki Sasa inaisha hapa anga la mwanza naiona Airbus tu asubuhi,mchana na jioni

Bombardier zisizioni zinaruka kabisa wakati sio kawaida, eneo ninaloishi ni sehemu ambayo ndege zote zinazotua na kuruka uwanja wa Mwanza zinapita juu ya nyumba yangu lakini Mapangaboi siyaoni kabisa siku kadhaa sasa

Je, haya mapangaboi yapo wapi siku hizi?
Nakumbuka mwaka juzi yalifanyiwa routine service kwa 13billions kama USD million 6 hivi
 
Hakuna aliyekuzuia kupanda hizo ndege. Huwa hatupendi tu mtuletee stori zenu za kishamba za kuwanyima watu haki zao, kisa eti mnanunua ndege.

Au kwa akili yako hii ya kuandika kwa herufi kubwa, unadhani Watanzania woye watazipanda hizo ndege zenu?
HAKI GANI UMENYIMWA? UNGEKUA HUNA HAKI UNGEKUWA NA UWEZO KUSHINDA UNAKEBEHI SERIKALI HAPA MITANDAONI HALAFU UNADUNDA MITAANI??.
 
Naomba kuuliza jamani hasa kwenu MATAGA

Hivi Bombardier zinafanya kazi kweli au zimeshakufa?

Manake wiki Sasa inaisha hapa anga la mwanza naiona Airbus tu asubuhi,mchana na jioni

Bombardier zisizioni zinaruka kabisa wakati sio kawaida, eneo ninaloishi ni sehemu ambayo ndege zote zinazotua na kuruka uwanja wa Mwanza zinapita juu ya nyumba yangu lakini Mapangaboi siyaoni kabisa siku kadhaa sasa

Je, haya mapangaboi yapo wapi siku hizi?
Zipo juu ya mawe wakati huu, ATCL inajiendesha kwa hasara kubwa ndio maana hakuna nyongeza ya mishahara na maisha magumu kwani tunatoa hela nyingi sana kwa matengenezo na mambo mengine mengi yaliyofanyika bila akili ndio yanatugharimu saa hii.
 
Kwani ni uongo? Hizo bombardier zina faida kwa watu wachache tu kama wewe. Wengi wetu tunaziona ni chenga tu maana hatutarajii hata siku moja kuja kuzipanda.

Huo ndiyo ukweli.
Akili za kibavicha hizi, hujui akipanda mwingine mapato yanaongezeka na in the end pato la taifa kuongezeka na maendeleo kwa ujumla!

Kwani boats za ziwa victoria kila mtu atazipanda, reli ya mwendokasi kila mtu atapanda?

Ficha upumbavu wako.
 
Tupe data kuonyesha ni faida kiasi gani tumeshapata baada ya kununua hzo ndege.
Akili za kibavicha hizi, hujui akipanda mwingine mapato yanaongezeka na in the end pato la taifa kuongezeka na maendeleo kwa ujumla!

Kwani boats za ziwa victoria kila mtu atazipanda, reli ya mwendokasi kila mtu atapanda?

Ficha upumbavu wako.
 
Ukikaa karibu na airport ndo utaziona zinavyopishana..
Screenshot_2020-09-27-21-32-05-629_com.flistholding.flightplus.jpg
Screenshot_2020-09-27-21-31-50-968_com.flistholding.flightplus.jpg
Screenshot_2020-09-27-21-31-39-108_com.flistholding.flightplus.jpg
Screenshot_2020-09-27-21-31-15-713_com.flistholding.flightplus.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom