Hivi hizi adhabu za kijeshi zipo kweli?

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
67,029
173,693
Kipindi flani tuko kisekondari kulikuwa na machizi watu wa story nyingi. Siku moja wakawa wanasimulia adhabu za jeshini.

Nakumbuka moja ya story ilikuwa kwamba kuna konda na dereva wa daladala walikuwa wamekatiza katika eneo la kambi ambako hawaruhusiwi. Mara ghafla wakataitiwa na wajuba wale bakabaka..Wakawaamuru dereva aendeshe gari kuzunguka uwanja na konda apige debe non-stop mpaka gari iishe mafuta kabisa..Basi unaambiwa jamaa walipiga kazi hadi ikafikia stage wanalia.🤣🤣🤣 Nilicheka sana.

Ingine ni madogo walifumaniwa wanaangua maembe katika shamba la jeshi. Baka baka waliokuwa doria waliwaotea madogo wakiwa na maembe mabichi mlima. Waliwahoji kidogo na hatimae wakawaamuru waanze kula maembe hadi yaishe 🤣🤣🤣 madogo wakala hadi meno ya kafa ganzi😂

Ingine kuna jamaa alipewa adhabu ajaze pipa la maji kwa kutumia kisoda 🤣🤣🤣

Hivi wakuu hizi adhabu kweli zipo jamani😂😂😂 au ilikuwa soga tu zile..Kama una kisa cha aina hii pia share basi tufurahi wote.
 
Kuna jamaa aliwahi dakwa na hao Baka baka aliingia anga zao alikuwa anachuma matunda kwenye maeneo yao....
wakamwambia una njaa sio.....!!
wakampikia ugali mkubwa na nyama
wakapeleka uwanja wa mpira kambini kwao...
ugali wakaweka upande wa goli moja.....
mboga wakaweka goli la pili....
wakamwambia akate tonge huku akachovye kule kwenye mboga mpaka amalize ugali na mboga kwa kukimbia.....
wakamwambia ukimaliza ugali aende zake....
jamaa alikula ugali huku analia....
 
kuna jamaa walikua wanatanua ile njia ya makongo pale kipindi iko nyembamba na foleni mbona waliacha DCM lao pale mpaka leo limekua school bus na wengine waliambiwa wakamate kambale kwenye bwawa lile pembeni ya kanteen mule ndani ya shule waliosoma makongo wanajua
Kule kwenye bwawa Wana wametoa Sana tope + majuto garden
 
Kuna jamaa aliwahi dakwa na hao Baka baka aliingia anga zao alikuwa anachuma matunda kwenye maeneo yao....
wakamwambia una njaa sio.....!!
wakampikia ugali mkubwa na nyama
wakapeleka uwanja wa mpira kambini kwao...
ugali wakaweka upande wa goli moja.....
mboga wakaweka goli la pili....
wakamwambia akate tonge huku akachovye kule kwenye mboga mpaka amalize ugali na mboga kwa kukimbia.....
wakamwambia ukimaliza ugali aende zake....
jamaa alikula ugali huku analia....
Hio adhabu balaa 🤣🤣🤣
 
Kipindi flani tuko kisekondari kulikuwa na machizi watu wa story nyingi. Siku moja wakawa wanasimulia adhabu za jeshini.

Nakumbuka moja ya story ilikuwa kwamba kuna konda na dereva wa daladala walikuwa wamekatiza katika eneo la kambi ambako hawaruhusiwi. Mara ghafla wakataitiwa na wajuba wale bakabaka..Wakawaamuru dereva aendeshe gari kuzunguka uwanja na konda apige debe non-stop mpaka gari iishe mafuta kabisa..Basi unaambiwa jamaa walipiga kazi hadi ikafikia stage wanalia.🤣🤣🤣 Nilicheka sana.

Ingine ni madogo walifumaniwa wanaangua maembe katika shamba la jeshi. Baka baka waliokuwa doria waliwaotea madogo wakiwa na maembe mabichi mlima. Waliwahoji kidogo na hatimae wakawaamuru waanze kula maembe hadi yaishe 🤣🤣🤣 madogo wakala hadi meno ya kafa ganzi😂

Ingine kuna jamaa alipewa adhabu ajaze pipa la maji kwa kutumia kisoda 🤣🤣🤣

Hivi wakuu hizi adhabu kweli zipo jamani😂😂😂 au ilikuwa soga tu zile..Kama una kisa cha aina hii pia share basi tufurahi wote.

hz mambo zpo mzee😁😁😁😁
nlipokuwa jeshi, kuna kuruta alirudia kuchukua msos mara mbili. basi bhana wakamdaka wakampeleka jikon wakampa ndoo ya wali maharage wakamwambia ww si una njaa sana eeh!!! sasa kula huu wali uishe jamaa alikula mpaka akatumbua macho kama mjusi. nusura tumbo lipasuke.
 
Hahahah dah jamaa wanaweza wakakuua kwa adhabu kidogo tu.
 
kuna jamaa walikua wanatanua ile njia ya makongo pale kipindi iko nyembamba na foleni mbona waliacha DCM lao pale mpaka leo limekua school bus na wengine waliambiwa wakamate kambale kwenye bwawa lile pembeni ya kanteen mule ndani ya shule waliosoma makongo wanajua
Hahahah kwenye hilo bwawa kulikuwa na kambale kweli au?🤣🤣🤣
 
Kipindi flani tuko kisekondari kulikuwa na machizi watu wa story nyingi. Siku moja wakawa wanasimulia adhabu za jeshini.

Nakumbuka moja ya story ilikuwa kwamba kuna konda na dereva wa daladala walikuwa wamekatiza katika eneo la kambi ambako hawaruhusiwi. Mara ghafla wakataitiwa na wajuba wale bakabaka..Wakawaamuru dereva aendeshe gari kuzunguka uwanja na konda apige debe non-stop mpaka gari iishe mafuta kabisa..Basi unaambiwa jamaa walipiga kazi hadi ikafikia stage wanalia.🤣🤣🤣 Nilicheka sana.

Ingine ni madogo walifumaniwa wanaangua maembe katika shamba la jeshi. Baka baka waliokuwa doria waliwaotea madogo wakiwa na maembe mabichi mlima. Waliwahoji kidogo na hatimae wakawaamuru waanze kula maembe hadi yaishe 🤣🤣🤣 madogo wakala hadi meno ya kafa ganzi😂

Ingine kuna jamaa alipewa adhabu ajaze pipa la maji kwa kutumia kisoda 🤣🤣🤣

Hivi wakuu hizi adhabu kweli zipo jamani😂😂😂 au ilikuwa soga tu zile..Kama una kisa cha aina hii pia share basi tufurahi wote.
dah mkuu kumbe hata wewe ulizisikia hizi

Hashim Rungwe "si, wanipe!! eehe ndiyo kama hawaamini wanipe tu"
 
Pale mbele ya mwenge (sihitaji unitajie jina) kuna daladala alishusha mjeda getini, jamaa wakamwacha raia wao anaingia wakachukua dereva na konda na kushusha abiria. Wakawaamuru wahamishe mchanga kupeleka mahali ingine.

Wkt wanakaribia kumaliza akatokea mkubwa wa kikosi akawaambia warudishe ulipokuwa kwa kuwa hilo zoezi yeye halijui.
 
Kipindi hicho pale kunduchi kulikuwa na njia ya kukatiza tu kwenda tegeta kwa miguu sasa mie na jamaa yangu siku ya mwaka mpya tunarudi kutoka kwenye mkesha kanisa la KLPT Tegeta tulipovuka kamto fulani kabla ya usawa wa kota zao wajeda tukapotea njia tukajikuta tupo karibu na godaun fulan hivi alafu kifaru kipo nje,

Ndugu yangu siku hiyo ndio niliona kwa mara ya kwanza kumbe kumbe nyota mda mwingine hugeuka kuwa kama jua hivii ila acha niishie hapa maana sina la kumhadithia hugo jamaa ambae anaulizia adhabu za jeshini nakuomba uende getini ukaulize mwenyewe utaleta mrejesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom