Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Hapa inaamana bomba la Gesi linachangia kiasi gani pato la taifa?Bomba la gesi unataka nani alipe transit charge? Linatoka Mtwara linaishia Dar es Salaam au unachotaka nini zaidi juu la hili bomba? Bomba la TAZAMA lilijengwa kwa malengo ya kisiasa zaidi, kuilinda Zambia dhidi ya fitna za mabepari kuzuia mafuta kuingia Zambia, hayakuwa makubaliano ya kibiashara hayo. Upotoshaji wenu wa kisiasa unafanya uonyeshe ujinga wenu.
Serikali iwekee mazingira mazuri wa uchumi wetu wa Tanzania badala ya kutegemea hivi vipato vya Transit.