Hivi Bodi ya Mikopo (HESLB) wako active kiasi hiki!

Hivi Bodi ya Mikopo (HESLB) wako active kiasi hiki!

aikaruwa1983

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Posts
1,398
Reaction score
1,504
Wanajamvi,

Mimi nilinufaika na mkopo wa elimu ya juu bt toka nimegraduate almost two years hakuna kazi zaidi ya kukaa kijiweni. Sasa cha kunishangaza leo tarehe 19/01/2012 nimepokea SMS zaidi ya kumi kwa wakati mmoja kutoka Bodi ya mikopo ikisema;

"Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu inawaarifu wadaiwa wote kuwa kiwango cha marejesho ya mkopo kuanzia september 2011 ni 8% ya mshahara halisi (basic salary) au kipato kwa mwezi, TIMIZA WAJIBU REJESHA MKOPO!

Sasa wana JF ni dalili mbaya sana maana sina hata kipato. Naona kama nasikia harufu ya Segerea. Naomba ushauri kutoka kwa wadaiwa sugu wanipe ubunifu!
 
Msimtishe mwenzenu. Nenda karipoti bodi ya mikopo wajulishe kuwa bado haujapata ajira watakuweka kwenye rekodi zao mpaka utakpopata kazi then wajulishe uanze kulipa deni bila penati. Ukikaa kimya itakula kwako.
 
Usilipe . pesa yenyewe ilikuwa inatoka kwa taabu
 
pesa yenyewe walikua wanatupa kwa tabu kwanza unawezakuajiriwa hata wasigundue mm hadi leo hawajagundua pamoja na wenzangu wengi walioajiriwa
 
Back
Top Bottom