Hivi bodi wana mpango gani na hela zetu za field?

Huku hamjapewa hela ya field mimi.haadi Leo.yapata Miezi.mi 3 sijapewa mshahara haata mmoja!!
Yaani nchi.ya Kisenge sana.hii we tulia OCTOBA SIO MBALI LAZIMA NICHINJE MBWA SISIEMU MAANA.HATA HUYO MNAEDHANI NI.MCHAPA KAZI LAZIMA.PIA ALINDE MASLAHI YA CHAMA NA.KULINDA KWENYEWE NDIO.HUKU MAFISADI YANASHIKILIA HELA ZETU YAKUZE MITAJI.YAO YA KIBIASHARA YAPATE FAIDA NDIO YATUKUMBUKE NA.SISI HAPA !YAANI NMECHOKA NA.HII TANZANIA KWA KWELI NI KAMA SINA.AJIRA TU,,HAYA NIJIAJIRI VIPI??SINA MTAJI NLKUA NA MIPANGO YANGU YA KUANZA KA.BIASHARA LAKINI HADI LEO HII SINA MSHAHARA WALA MTAJI!!!inaumizaa sana.hali hii hata kazi sitaifanya kwa moyo.hata km...ntalipwa hela zangu Am psychologically distorted na uticha!!sina ham!!
nchi hii inazngua sana , naskia Udom wamepewa sijui we Chuo gani?
 
me nlijua pesa inaingia jana lakini wapi... duuuh mwaka huu tutapewa October..

Mimi kila mda nachungulia sikuti kitu, napoteza voucher zangu tu .
 
nchi hii inazngua sana , naskia Udom wamepewa sijui we Chuo gani?

UDOM kuna watu wa education naskia walikua bado..sasa sijui sababu gani inafanya huu ujinga kuendelea
 
Huku hamjapewa hela ya field mimi.haadi Leo.yapata Miezi.mi 3 sijapewa mshahara haata mmoja!!
Yaani nchi.ya Kisenge sana.hii we tulia OCTOBA SIO MBALI LAZIMA NICHINJE MBWA SISIEMU MAANA.HATA HUYO MNAEDHANI NI.MCHAPA KAZI LAZIMA.PIA ALINDE MASLAHI YA CHAMA NA.KULINDA KWENYEWE NDIO.HUKU MAFISADI YANASHIKILIA HELA ZETU YAKUZE MITAJI.YAO YA KIBIASHARA YAPATE FAIDA NDIO YATUKUMBUKE NA.SISI HAPA !YAANI NMECHOKA NA.HII TANZANIA KWA KWELI NI KAMA SINA.AJIRA TU,,HAYA NIJIAJIRI VIPI??SINA MTAJI NLKUA NA MIPANGO YANGU YA KUANZA KA.BIASHARA LAKINI HADI LEO HII SINA MSHAHARA WALA MTAJI!!!inaumizaa sana.hali hii hata kazi sitaifanya kwa moyo.hata km...ntalipwa hela zangu Am psychologically distorted na uticha!!sina ham!!

Pole mkuu, nasisi kuna watu field wmepangiwa mikoani huko na mpaka sasa hkuna hata senti iliyo ingia.
 
vijana mkeep cool hela zipo ndo tunashughulikia hapa hazina, hata hvyo mmi hapa sijapewa ila tupige moyo konde,, ikichelewa ndo inakua bata kubwa tutakulaje bata iddi hii
:lock1:

:lock1::lock1::lock1::lock1:
 
wewe ni mwanafunzi au? watu hatuna hela mkuu
 
Uhakka wa pesa upo maadam tumesaini hamna tatzo sio km mwaka jana hata wino hatukumwaga. Mwez wa 10 tufanye mabadlko maadam tushachukua vichinjio vya BVR ha2fany makox
 
Poleni wakuu! hii inanikumbusha field yangu ya mwaka wa kwanza miaka ile! ila now nakula mema ya nchi!
 
vijana mkeep cool hela zipo ndo tunashughulikia hapa hazina, hata hvyo mmi hapa sijapewa ila tupige moyo konde,, ikichelewa ndo inakua bata kubwa tutakulaje bata iddi hii
:lock1:

:lock1::lock1::lock1::lock1:

mkuu VIP ? pesa mpka Leo hatuioni....maisha yashakua magumu huku
 
SAMAHANI LAKINI. Nilivyoskia.ni kuwa boom la field mwaka huu HALITOKI!

Halitoki wakati hela watu tunakaribia kuimaliza mpaka sasa. sema kuna baadhi ya vyuo hawajapewa lakin kwa ninavyofaham UDOM, udsm na matawi yake wote wamepewa hela
 
kuna baadhi ya vyuo ela imetoka mda tu kama udsm mzumbe mwalimu nyerere ..na vingine bado mpka leo Hii mkuu ...sasa shida ni bodi sijui nivyuo vyenyew acha tu mkuu
 
Hii nchi kuna watu wapumbavu sana...sasa wanafikir huku sisi tunafanyaje hizo field na hela hawajatoa
 
wakitoa PESA leo unadhani pesa ya kampeni itatosha? maana hata kwa goli la mkono lazima washinde. Golila mkono ni la process ndefu kuanzia huku mpaka oct 25
 
Kwaiyo ndo pesa zetu za field zimekua mtaji dah
 
Msiwe mnakubali kwenda field kabla ya kuekewa hela ya field..Maan sisi hapa MT.meru university kila mwaka tunapewa kabla ya kwend field.pia ufuatiliaj wenu ununawez kuchangia kucheleweshewa hela
 
Daah sawa mkuu ,ila wmetufamyia kitu kibaya sana.
 
Back
Top Bottom