Hivi Boban Aliomba Radhi?

Hv mchezaji atakiwi kunywa kirobo??mara ngpi tumesikia wachezaji wa ulaya wamekutwa nyt clubs ama kulala na makahaba?tunajhic kulishanga soko la bongo bila kujua kua soka la bongo linatushangaa sisi!
 
Toka 5,000$ hadi 700$....na wenzake sasa wanalipwa 20,000$!!!bangi na shule muhimu sana walahi tena!ataishia kuwa marioo tuu acha aje atemwe Simba ataenda team ndogo ndogo kama Kagera Sugar,Moro United mara ataanza ndondo mwishoni ataendesha boda boda au ataanza kunyonga bangi aishie jela!
 
Hv mchezaji atakiwi kunywa kirobo??mara ngpi tumesikia wachezaji wa ulaya wamekutwa nyt clubs ama kulala na makahaba?tunajhic kulishanga soko la bongo bila kujua kua soka la bongo linatushangaa sisi!
hata hapo kwako hakuna mahali panapoonesha viroba
 
naona Ngassa hajaambulia somo hapo
 
maximo alipo mfukuza stars mlimwona maximo hafai semeni sasa huyo ni kunguru hafugiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…