Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 864
Naomba nenda kasikilize wimbo wa SUMA LEE uitwao CHUNGWA utapata jibu la tatizo lako
na je kwanini bikira kwa binti tu vipi kwa mwanaume?
Naomba nenda kasikilize wimbo wa SUMA LEE uitwao CHUNGWA utapata jibu la tatizo lako
hapo ilikuwa nikudumisha mila na ilikuwa ni heshima kwa mwanamke na fahari kwa mume
Bora hii mila irudi, tumechoka kununua spea tairi za mchina!hapo ilikuwa nikudumisha mila na ilikuwa ni heshima kwa mwanamke na fahari kwa mume
Bora hii mila irudi, tumechoka kununua spea tairi za mchina!
Kwanini huo ufahari uwe kwa mwanaume tu?kwanini na wanaume nao walikuwa hawakaguliwi kama hajawahi kukutana na wanawake?huoni kama huo ulikuwa ni mfumo dume?
Wimbo wa chungwa naufahamu..if that so sasa kwanini wanume tunapenda sana wanawake mabikira?
Na je mwanamke naye alipaswa kuja juu akikuta wa kwake keshamega?hiyo ilikuwa na kwa wanaume ndomana walikuwa wakali kama limeshamegwa
Usijali dear, wala hujaniboa kwa upande wangu maana huo ndo ukweli. Hata hao wanaowaita wa bush ndo kwishnei kabisa. Sio eti na mtusi akitaka bikra kwa sasa zaa wa kwako na umlee kwenye mahandaki asikutane na mtuu yeyeyote. Na ukiangalia hata haka kamchezo ka kuliwa tigo kalikoingia sasa, unafanyika sana ili kutunza ile sehemu ya mbele isichakazwe sana then muhusika akashtukia. Wala tigo wenyewe wanaona ni fahari kweli kumbe kalishwa ushafuu tuu then kule kusafi kunapelekewa muhusika taratibu kukiwa safi bin salama. U sleeping men wake up acheni kupumbazwa na wanawake wakileo.Ndugu yangu mabinti wa leo hii wengi wao huwezi kupata hiyo kitu (naogopa tena kuitaja) kwa jinsi walivyo-advansi eti kwa kwenda na wakati, leo mtoto mdogo usiyemdhania huwezi amini maumbile yake yalivyo, ni kama tangu kuzaliwa kwake hakuwa na bikira, ila kurudia kwa mila hizo wengi wao watakwambia kupitwa na wakati, ni ngumu kwa sasa mkubwa ila ukitaka hata za dukani zinapatikana, Samahani kwa akina dada ambao nitawaboa.
Pape ndugu yangu hapa umechemsha. Hii mila ikirudi bikira za mchina ndio zitaongezeka kila kona ya nchi.Inavyoonekana kuna kitu zaidi ya hii heshima ambyo wengi wamesema humu ndo maana mabinti hufikia hatua ya kutafuta bikira bandia na inasemekana huko Zanzibar baadhi ya mabinti hufanya kinyume na maumbile kama hawajaolewa ili kuprotect bikira zao.