Hivi Bikira ina faida gani?

Status
Not open for further replies.

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
863
Ni ukweli usiopingika kwamba miaka ya hivi karibuni (Miaka 40 iliyopita) Waafrika tulikuwa na desturi ya kukuagua bikira kwa mabinti ama wasichana waliokuwa wakiolewa.Siku ya harusi ilikuwa ni lazima Bwana na Bibi harusi wafanye tendo la ndoa hata kama walikuwa hawajisikii kufanya hivyo,na tendo hili halikuwa siri kwani ilikuwa ni lazima shuka jeupe litandikwe ili kuona kama kuna bikira kwa mwanamke na kama damu haikuonekana kwenye shuka basi binti alionekana kwamba hafai na alichwa kabisa bila huruma tena kwa maneno makali.Ilkuwa ni aibu kubwa binti kukutwa hana bikira lakini utamaduni huu kwa miaka ya sasa hakuna kabisa.

Swali langu kwani bikira ina faida gani mpaka wazee wetu walikuwa hawana utu kiasi hiki?na je kwanini bikira kwa binti tu vipi kwa mwanaume?
 
hapo ilikuwa nikudumisha mila na ilikuwa ni heshima kwa mwanamke na fahari kwa mume
 
Naomba nenda kasikilize wimbo wa SUMA LEE uitwao CHUNGWA utapata jibu la tatizo lako
 
na je kwanini bikira kwa binti tu vipi kwa mwanaume?

Nadhani 'busara' iliyokuwepo ni kuwa kama mabinti wote watatunza bikra zao (kwa kutofanya ngono!), obviously wanaume/wavulana nao watakuwa 'bikra' tu (kwa sababu kiasili, tendo la ndoa huitaji mtu mke na mtu mume!).

Ngono kabla ya ndoa si jambo jema. Kama jamii inamtegemea zaidi mwanamke ajitunze (asipoteze bikra yake) kabla ya kuolewa sioni ubaya wowote.
 
Bikra inaleta heshima kwa mwanaume na kwa mwanamke vile vile ni faraja kuona unaoa au kuolewa ukiwa hujawahi onja au onjwa uliye mpata ndo anakuwa anazindua gemu ni faraja sana na kuongeza heshima ndani ya ndoa.
 
hapo ilikuwa nikudumisha mila na ilikuwa ni heshima kwa mwanamke na fahari kwa mume

Kwanini huo ufahari uwe kwa mwanaume tu?kwanini na wanaume nao walikuwa hawakaguliwi kama hajawahi kukutana na wanawake?huoni kama huo ulikuwa ni mfumo dume?
 
Bora hii mila irudi, tumechoka kununua spea tairi za mchina!

Pape ndugu yangu hapa umechemsha. Hii mila ikirudi bikira za mchina ndio zitaongezeka kila kona ya nchi.Inavyoonekana kuna kitu zaidi ya hii heshima ambyo wengi wamesema humu ndo maana mabinti hufikia hatua ya kutafuta bikira bandia na inasemekana huko Zanzibar baadhi ya mabinti hufanya kinyume na maumbile kama hawajaolewa ili kuprotect bikira zao.
 
Kwanini huo ufahari uwe kwa mwanaume tu?kwanini na wanaume nao walikuwa hawakaguliwi kama hajawahi kukutana na wanawake?huoni kama huo ulikuwa ni mfumo dume?

hiyo ilikuwa na kwa wanaume ndomana walikuwa wakali kama limeshamegwa
 
Nadhani pia iliongeza mapenzi ya Mume kwa mke wake kwa kujua kwamba mkewe alikuwa hajaguswa na mwanaume yeyote katika maisha yake. Nakumbuka njemba mmoja iliamua kuoa kwa sababu tu kila akiomba shughuli binti alidai yeye ni bikra hivyo kama ana mapenzi ya kweli kwake basi asubiri mpaka wafunge ndoa.

Baada ya ndoa jamaa akaja kugundua yule binti hakuwa bikra na jamaa mwenyewe ni wale ambao hawajui kutunza siri zao. Basi marafiki zake wengi tulifahamu maana alikuwa akishautwika tu kama mko sehemu sehemu anaanza kumsifia mkewe (na mke mara nyingi alikuwepo) kwamba ni bomba sana na kwamba aliudhika sana baada ya kugundua kwamba mkewe alimdanganya kwamba ni bikra kumbe haikuwa hivyo. Mara nyingi tulimwambia pembeni maneno yale si mazuri maana yanamdhalilisha mkewe lakini unajua tena wengine wakishautwika huongea bila break.
 
Ndugu yangu mabinti wa leo hii wengi wao huwezi kupata hiyo kitu (naogopa tena kuitaja) kwa jinsi walivyo-advansi eti kwa kwenda na wakati, leo mtoto mdogo usiyemdhania huwezi amini maumbile yake yalivyo, ni kama tangu kuzaliwa kwake hakuwa na bikira, ila kurudia kwa mila hizo wengi wao watakwambia kupitwa na wakati, ni ngumu kwa sasa mkubwa ila ukitaka hata za dukani zinapatikana, Samahani kwa akina dada ambao nitawaboa.
 
Nafikiri kwamba bikira kwa mwanamke ni usafi ki maadili ya kiafrika. Nguo huwa haitegemewi kuchafuka kabla ya kuvaliwa!!
 
Ndugu yangu mabinti wa leo hii wengi wao huwezi kupata hiyo kitu (naogopa tena kuitaja) kwa jinsi walivyo-advansi eti kwa kwenda na wakati, leo mtoto mdogo usiyemdhania huwezi amini maumbile yake yalivyo, ni kama tangu kuzaliwa kwake hakuwa na bikira, ila kurudia kwa mila hizo wengi wao watakwambia kupitwa na wakati, ni ngumu kwa sasa mkubwa ila ukitaka hata za dukani zinapatikana, Samahani kwa akina dada ambao nitawaboa.
Usijali dear, wala hujaniboa kwa upande wangu maana huo ndo ukweli. Hata hao wanaowaita wa bush ndo kwishnei kabisa. Sio eti na mtusi akitaka bikra kwa sasa zaa wa kwako na umlee kwenye mahandaki asikutane na mtuu yeyeyote. Na ukiangalia hata haka kamchezo ka kuliwa tigo kalikoingia sasa, unafanyika sana ili kutunza ile sehemu ya mbele isichakazwe sana then muhusika akashtukia. Wala tigo wenyewe wanaona ni fahari kweli kumbe kalishwa ushafuu tuu then kule kusafi kunapelekewa muhusika taratibu kukiwa safi bin salama. U sleeping men wake up acheni kupumbazwa na wanawake wakileo.
 
bikira kitu gani bwana!...lol!
mimi nilipenda kuoa mwanamke mwenye mtoto nje
 
Pape ndugu yangu hapa umechemsha. Hii mila ikirudi bikira za mchina ndio zitaongezeka kila kona ya nchi.Inavyoonekana kuna kitu zaidi ya hii heshima ambyo wengi wamesema humu ndo maana mabinti hufikia hatua ya kutafuta bikira bandia na inasemekana huko Zanzibar baadhi ya mabinti hufanya kinyume na maumbile kama hawajaolewa ili kuprotect bikira zao.

Nimekugongea senksi....lol.:rolleyes:
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom