Hivi bibi harusi kununa siku ya ndoa ni ishara ya nini?

Hivi bibi harusi kununa siku ya ndoa ni ishara ya nini?

atakuwa anawaza madeni na wanao mdai wapo kwenye hiyo harusi
 
Unakuta wageni waalikwa na bwana harusi mnafuraha lakini bibi harusi kanuna muda wote.Hata wakati wa picha anajilazimisha kutabasamu lakini anaonekana tu,hilo tabasamu ni feki.

Sasa wageni tunajiuliza maswali hatupati jibu sahihi.Wengine wanasema labda wamegombana na bwana harusi,wengine labda ana mimba changa.

Hebu wenye uzoefu watuelimishe hapa.


Ni kwa sababu wanawake wanatawaliwa sana na hisia na chuki, hivyo akifikiria tu kuna kusalitiwa na rafiki yake au pengine kuna rafiki yake tayari kishalala na mumewe, ndipo hasira zinakuja. Mwingine anafikiria basha lake huko liliko linachapa nani badala yake na kwa nini achape mwingine asimsubiri yeye amalize kufunge ndoa wakachapane. Wanawake bwana wana issue haswa hawa wa kibongo. Mimi ni kuwachapa tu kisha nasepa, sitaki kabisa kudeal nao. Haka Ka-Lulu ketu kameenda kuchukua tu zawadi Nigeria kamevuliwa chupi na mibaba ya huko pengine hata hakujikinga, hapa Bongo tunamuona wa maana wakati wenzetu wanamcheka na kutushangaaa.
 
Back
Top Bottom