Tafuta gunia la kubebea PMMimi siku hiyo nitakenua meno yote aise
Teh pm kuna mlinziTafuta gunia la kubebea PM
hahaa!!basi mwambie awe imara.Teh pm kuna mlinzi
Yuko ngangarihahaa!!basi mwambie awe imara.
Ahaaaa nyie ndio mnaoliaga ha haa...Wakati mnashangaa mi nitakua bze kujiachia
Mie silii hata tone... Yani nitajiachia mbaya sikuhiyoAhaaaa nyie ndio mnaoliaga ha haa...
We hutahuzunika kuwaacha mchepuko wako....Mie silii hata tone... Yani nitajiachia mbaya sikuhiyo
Kumbe bado hujaolewa bibie,Mimi siku hiyo nitakenua meno yote aise
Tayari shamba limepata mkulimaKumbe bado hujaolewa bibie,
Sasa mkulima anasubiri nini halipimi shamba lake na kuchukua Hati ili aweze kulimiliki kihalali?Tayari shamba limepata mkulima
Weka picha yakeHajanuna, Sura yake ndivyo ilivyo
Yuko kwenye mchakato wa hati milikiSasa mkulima anasubiri nini halipimi shamba lake na kuchukua Hati ili aweze kulimiliki kihalali?
Hizi mambo za nipo kwenye mchakato...... Nipo kwenye mchakato.... Mara ooooh upembuzi yakinifu hatuzitaki ktk Awamu hii ya hapa kazi tuuuu!!!Yuko kwenye mchakato wa hati miliki
Teh sasa kila kitu si lazima mchakato ufanyike jamaniHizi mambo za nipo kwenye mchakato...... Nipo kwenye mchakato.... Mara ooooh upembuzi yakinifu hatuzitaki ktk Awamu hii ya hapa kazi tuuuu!!!