Hivi biashara ya mayai ya kware iliishia wapi jamani?

Hii biashara ilivuma sana hasa ikihusisha na nguvu za kiume na watu walipiga hela sana kwa kuanzisha ufugaji wa kware na kuuza mayai yake lakini sasa naona kimyaa. Watu wakianza kuvumisha kitu hasa kukihusisha na nguvu za kiume kinapata soko sana. Akiibuka mtu leo na kusema mayai ya nyoka yanaongeza nguvu za kiume msako mkali utaanza kutafuta mayai ya nyoka popote mashimoni na mapangoni na ukitaka watu waanze kufuga nyoka tangaza kuwa mayai yake yanaleta nguvu za kiume
Ilikuwa kama RIFARO. Wamekusanya chao na kusepa, hamna nguvu wala kupona magonjwa.
 
hahaaa hii kitu ikoje mkuu ..hebu idadavue vyema..daahh watu wezi aisee

Acha tu mkuu ,, hii mambo unaenda unatoa laki5 na 60 , zen unapewa package ina dawa eti inatibu "magonjwa 100" ,pia ina kahawa inayoongeza 'akili darasani',unapewa pia dawa za mswaki kwenye hiyo hiyo package, ambayo thamani ya package ndio hiyo pesa uliyotoa…!

Sasa hiyo package ni wew uende kuuza au ukatumie mwenyewe kwa afya yako, zen unatafuta watu wa kuwajoin kwenye biashara , basi mambo yanakua yameiva unaanza kuingiza pesa na wewe kupitia chain ya watu uliowaunganisha

Jamaa wahuni sana , ukienda kwenye semina zao wanaongelea kununua magari na viwanja ndani ya miezi miwili

Mimi nimefatwa na washikaji zaidi ya wawili kuhusu hiyo makitu bt niliwaambia ujinga wa hivo sifanyagi
 
hahaaaa mimi walinipigiaga Simu ..nikawaambia kuwa sina muda huo ..kwanza alikuwa anajifnya anaongea kama anatype gazeti ..nikamwambia skia Binti Nina kazi nyingi mnoo zakufnya so huo muda unaohitaji kuupata toka kwangu eti nije ofisini kwenu sintokuwa nao
 
Hii biashara ilivuma sana hasa ikihusisha na nguvu za kiume na watu walipiga hela sana kwa kuanzisha ufugaji wa kware na kuuza mayai yake lakini sasa naona kimyaa. Watu wakianza kuvumisha kitu hasa kukihusisha na nguvu za kiume kinapata soko sana. Akiibuka mtu leo na kusema mayai ya nyoka yanaongeza nguvu za kiume msako mkali utaanza kutafuta mayai ya nyoka popote mashimoni na mapangoni na ukitaka watu waanze kufuga nyoka tangaza kuwa mayai yake yanaleta nguvu za kiume

Ulikuwa upepo tu, sasa hivi upepo gani unavuma?
 
Wameshawishi sana kuingia na hata nilipoona vijana wanalishwa tango poli niligundua ukosefu wa Elimu pamoja na baadhi yao kuonekana ni wasomi.

Nimegundua vijana wengi ni wavivu kwenye kuitumikisga AKILI kuzalisha au kuangalia fulsa za kipato ila wanapenda matokeo ya haraka.
hii kitu utasikia "one million,, two million",, hahahaaa daah, jamaa ni wezi sijawahi ona,

Kweli mtu utoe laki5 na 60 zen unapewa package ya dawa za kienyeji na dawa za meno ukauze,, halafu mtu na akili zake timamu nae anaenda, na anakuja kukushirikisha fursa na wew ukapigwe pesa yako duuu…!!!
 
Vile vimayai ukiviona km una roho nyepesi huli. Mimi nililetewa vikanishinda kbd
 
hii kitu utasikia "one million,, two million",, hahahaaa daah, jamaa ni wezi sijawahi ona,

Kweli mtu utoe laki5 na 60 zen unapewa package ya dawa za kienyeji na dawa za meno ukauze,, halafu mtu na akili zake timamu nae anaenda, na anakuja kukushirikisha fursa na wew ukapigwe pesa yako duuu…!!!
Sijui huwa hawajui kuwa wanafanywa wamachinga na pesa zao zinaenda buree,loh!!!
 
Mambo ya Forever living, Deci, upatu, D9, Forex
 
Attachments

  • UPATU.pdf
    580.7 KB · Views: 37
Back
Top Bottom