Hivi biashara ya dawa za kulevya imeisha nchini?

Hivi biashara ya dawa za kulevya imeisha nchini?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
23,877
Reaction score
31,632
Nauliza si kwa ubaya.

Sijasikia suala la kuwashughulikia wale wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kama kipindi kile cha awamu iliyopita namna walivyokuwa wanapambana nao na kuwataja kwa majina wazi wazi.

Ila tangu afariki sijasikia tena zile harakati zikiendelea.

Nini kipo nyuma ya pazia?
 
Upo nchi gani mkuu,

Mkuu wa idara anaitwa James Lyimo, kawa mwiba mkali sana kwa wauza madawa, imekuwa kawaida kumuona kwenye headlines.
 
Wapo wanaokamatwa, juzi horohoro kapigwa jela maisha
 
Bado ipo ila serikali ipo bize kuwashughulikia wakosoaji wa ccm, ngoja uchaguzi upite waanza tena kuleta maigizo yao, wakati wao ndo wavushaji wakubwa wa mizigo.
 
Back
Top Bottom