Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,924
- 6,010
- Thread starter
-
- #61
utafiti mwingine ni feki kabisa
Salaam wanaJF!
Niliwahi sikia kuwa ktk kila mwanamke mmoja kati ya watano ana tendency ya kuachia fluid (mkojo?) kidogo ktk pichu yake kiasi cha 1/2 kijiko kidogo cha chai pale anapofanya haya: kupiga chafya, kucheka, kukohoa, kufanya mazoezi ya viungo na kubeba vitu vizito.
Hivi ni kweli? If so, why 're women more prone to this? Why does this happen, and what can be done about it?
P'se drop your expert analysis and comments.
wakifurahi wadada
au any stimuli kwenye bodies zao wana stimulate Pudendal nerve
(nerve for sexual arousal) hivo wale nerve iliyo active 1:5 lazima
Vulval mucus secreting glands lazima zitoe hiyo mucus na sio mkojo as
such....lkn kwa kuwa viscosity ya mucus ni kubwa i.e kama uji basi hata
travel speed ya mucus kuja kwenye chupi ni dongo na most of the time
haiwez loaanisha puchi ....observe ukienda kugegeda usimvui kyupi mamie
afu mpige touch mpaka mucous ije ya kutosha utakuta kyupi haijaloa lkn
vulva imejaa utelezi
Mkuu charminglady, niseme tu kwamba ni drops
kidogo tu ya kimiminika kinachotoka ktk urethra na kuishia ktk papuchi, au labda kusambaa kidogo kwenye underwear. So inawezeka harufu isisikike sana. Just few drops!
wakifurahi wadada au any stimuli kwenye bodies zao wana stimulate Pudendal nerve
(nerve for sexual arousal) hivo wale nerve iliyo active 1:5 lazima
Vulval mucus secreting glands lazima zitoe hiyo mucus na sio mkojo as
such....lkn kwa kuwa viscosity ya mucus ni kubwa i.e kama uji basi hata
travel speed ya mucus kuja kwenye chupi ni dongo na most of the time
haiwez loaanisha puchi ....observe ukienda kugegeda usimvui kyupi mamie
afu mpige touch mpaka mucous ije ya kutosha utakuta kyupi haijaloa lkn
vulva imejaa utelezi
Umechanganya mambo mawili; mkojo & female cum.
nakubaliana na wewe 100%
Who is talking about any myth?Hiki kitu kimeshafanyiwa mpaka researches na kimegundulika ni tatizo.Soma link ya article hio nimekuwekea chini!Huu ni uongo.! Wanawake wangapi wanajifungua kawaida? Hizi myth zinasababisha wadada wengi kwenda hospitali na mentality ya kutaka kupasuliwa wakati ana uwezo wa kuzaa kawaida. Kuna watu wana urinary incontinence na ana mtoto mmoja tu! Ingekuwa hivyo hata ma.vi si yangekuwa yanatoka yenyewe?
Mweeeh!!! I must ask my girlfriend calmly
Mmmmh...so must I..
Who is talking about any myth?Hiki kitu kimeshafanyiwa mpaka researches na kimegundulika ni tatizo.Soma link ya article hio nimekuwekea chini!
Women's explanations ... [J Wound Ostomy Continence Nurs. 2010 Mar-Apr] - PubMed - NCBI
Na siku nyingine kabla hujamquote mtu pumba zako ufikirie mara mbili!!!Watanzania wengi hawapo wazi kuongelea kuhusu matatizo yao lkn hili tatizo lipo tena sana tu!!
Ni kweli, lkn naona wachangiaji wengi hawajafaham maana ya neno 'baadhi ya wanawake' kwa kuwa yeye anaona ha pee basi anaona kama umeuliza maajabu.
Ni kweli hii kitu ipo, mimi binafsi hunitokea mara moja moja hasa nnapokua na kikohozi kikali sana. Sikuwahi kumskia mtu mwengine wala sikuwahi kuhisi kama ni tatizo.
Ndo leo naskia hapa, this means hichi kitu ni kweli kipo
Heshima mbele wakuu, matatizo ya kulegea "breki" za mkojo ni tatizo linalowapata kinamama ambao wajifungua kwa njia ya kawaida. Wakati kichwa kinaelekea kutoka panapo kujifungua kinachana misuli iitwayo pelvic floor muscles. Misuli hii inasaidiana na misuli maalumu ya kuziba njia ya mkojo kuzuia mkojo kutoka ovyo. Ndio maana kinamama waliojifungua kawaida wanashauriwa kufanya Kegel exercises kuweza kurudisha asilimia kadhaa ya ufanyaji kazi wa misuli hiyo.
Kumbuka tatizo hili huwapata wanawake wachache sana hasa waliozaa Mara nyingi na wenye umri mkubwa.
Mkuu Jawilat kwa maelezo niliyoyatoa hapo haya-generalize kwa kinamama wote wanaojifungua kwa njia ya kawaida ila ni kwa baadhi (asilimia chache) ambao wanaathirika na kuchanika au kuvutika kwa pelvic floor muscles.i agree not to agree with you..nilijifungua kwa njia ya kawaida ila sijakutana na hili tatizo labda ni kwa baadhi ya wanawake..
hili tatizo lipo kama
walivyoeleza baadhi ya wenzetu hapo juu...na linatokea kwa baadhi ya
wanawake wenye umri mkubwa na waliojifungua....just baadhi....na
matibabu yake ni kegel exercise...kwa kifupi kuhusu tiba ni mwanamke
kucontrol mkojo wakati wa kukojoa...yaan kutoa mkojo na kuubana several
tyms akiwa toilet...of which husaidia kustrengthen pelvic floor
muscles..