FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
- Thread starter
- #21
Hiyo ni hatua ya kwanza katika kukutongoza,kwani ukitabasamu tu umempa nyenzo na nguvu ya kukutokea vizuri ila ukikunja ndita maana yake ni kuwa umechukia kile kitendo, punguza kuuza sura,muuzie mumeo,au unawatega?
naomba unambie hiyo sura nauzaje??