Hivi Azam FC, Abubakar Salum 'Sure Boy' huwa anawapa nini zaidi kugharimu timu?

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Leo katika mtanange wa ligi kuu Tanzania bara VPL, ulikuwa ni mtifuano katika ya Azam FC na Yanga SC kwenye uwanja wa Chamazi, ambapo kwenye mchezo huu Yanga imeibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja dhidi ya Azam FC.

Huku mchezaji wa Azam FC Abubakar Salum ' Sure Boy' akitolewa nje ya uwanja kwa kadi nyekundu baada ya kumsukuma beki wa Yanga Hassan Ramadhan.

Nakumbusha Azam FC na kuwauliza hivi Abubakar Salum huwa anawapa nini zaidi kugharimu timu?

Yaani viongozi mmeziba pamba kwenye masikio? Na macho mnayo lakini hamuoni? Sasa mnataka awaonyeshe namna gani kuwa huyo mchezaji ni Yanga wakutupwa, kwahivyo kuendelea kumtumia kwenye mechi dhidi ya Yanga ni ujinga.

Kwasababu tayari mnakuwa 10 uwanjani badala ya 11. Mchezaji anahujumu timu wazi wazi kiasi hicho halafu mnajifanya hamuoni?

Na wachezaji kama hawa ndo chanzo cha soka la Tanzania kupiga hatua. Poleni sana Azam FC.
 
Wewe ni mpenzi mtazamaji tu hujui lolote kuhusu soka kaa kimya. Yaani Sure boy kumsukuma Kessy ndo kunakoonesha ni Yanga ? Wachezaji wangapi duniani wamefanya kama yeye na hawakuhesabika ni Wa timu pinzani? Zidane alimpiga kichwa Materazi akatolewa kwa red card kwa hiyo naye alikuwa Muitalia? Kitendo alichofanya ni cha kijinga lakini hakipaswi kugeuzwa kishabiki kama unavyotaka wewe!
 
Hujui kitu wewe. Na yaonyesha hujamfuatilia Sure Boy. Huyu kila mechi ihusio Yanga, uliza sisi tunaomjua.
 
Ile ni ajira yake hata kama ni shabiki Wa Yanga. Inamsaidia nini AZAM ikifungwa na Yanga kwa sababu yake?
 
Mmmmh aisee......siamini kwa namna mnavyotoka povu...yaani Yanga haipaswi kushinda??? Nyie mikia mkoje???!!! Bado nyie sasa ...sijui mtamsingizia Ndemla au vipi???
 
Dah aisee. Yaani wewe ni wale ambao hawatakii chochote kile kwenye maendeleo yake ya soka, na hata kwenye nje ya nchi kama akina Samatta.

Ok.. Ni kama Toto Afrika ya Mwanza siyo?
 
Mmmmh aisee......siamini kwa namna mnavyotoka povu...yaani Yanga haipaswi kushinda??? Nyie mikia mkoje???!!! Bado nyie sasa ...sijui mtamsingizia Ndemla au vipi???
Tumia akili kufikiri na kuelewa. Sina shida ya matokeo kitendo cha mchezaji ni kiovu ambacho mechi tatu anakosa
 
Wewe ni mpenzi mtazamaji tu hujui lolote kuhusu soka kaa kimya. Yaani Sure boy kumsukuma Kessy ndo kunakoonesha ni Yanga ? Wachezaji wangapi duniani wamefanya kama yeye na hawakuhesabika ni Wa timu pinzani? Zidane alimpiga kichwa Materazi akatolewa kwa red card kwa hiyo naye alikuwa Muitalia? Kitendo alichofanya ni cha kijinga lakini hakipaswi kugeuzwa kishabiki kama unavyotaka wewe!
mpira wa kibongo inawezekana sana tena sana. nakumbuka kwenye ndondo those dayz (sio ndondo ya clouds) tuliwahi fika final na timu moja ya bwagamoyo.....watoto wa shamba walihangaika sana kupata ushindi kabla ya mechi .mwisho wakaongea na kocha wetu ambaye alikuwa anatusaidia vijana wake sijui walimpa dau gani kwani siku ya mechi akaja na majeshi (wachezaji wa kukodi,vijana wa kagera ya dar) kilichotokea dakika ya nane kipindi cha kwanza mmoja kati ya wale majeshi akakata (faul mbaya sana na akalimwa nyekundu na yule wa pili akamfuata refa akamtwishwa kichwa naye kapewa nyekundi timu ina wachezaji nane mnashindaje hapo?
 
Azam wajinga...wanamuacha Muathir wakaamua kubakia na mtoto wa mchezaji wa Yanga zamani...
 
Naunga mkono hoja. Yaani leo umebainisha na hapo waone wale ambao hawajui kitu chochote kuhusu huyo dogo.
 
Unamuonea huyo dogo kuna mechi Yanga alipigwa 4 kule Zenji jamaa aliupiga mwingi sana
 
Alifanya nini cha maana zaidi ya kuzunguka na kupiga pasi za nyuma.

Abadilike tunataka akina Samatta wengi
 
Leo katika mtanange wa ligi kuu Tanzania bara VPL, ulikuwa ni mtifuano katika ya Azam FC na Yanga SC kwenye uwanja wa Chamazi, ambapo kwenye mchezo huu Yanga imeibuka na ushindi wa goli mbili kwa moja dhidi ya Azam FC.

Huku mchezaji wa Azam FC Abubakar Salum ' Sure Boy' akitolewa nje ya uwanja kwa kadi nyekundu baada ya kumsukuma beki wa Yanga Hassan Ramadhan.

Nakumbusha Azam FC na kuwauliza hivi Abubakar Salum huwa anawapa nini zaidi kugharimu timu?

Yaani viongozi mmeziba pamba kwenye masikio? Na macho mnayo lakini hamuoni? Sasa mnataka awaonyeshe namna gani kuwa huyo mchezaji ni Yanga wakutupwa, kwahivyo kuendelea kumtumia kwenye mechi dhidi ya Yanga ni ujinga.

Kwasababu tayari mnakuwa 10 uwanjani badala ya 11. Mchezaji anahujumu timu wazi wazi kiasi hicho halafu mnajifanya hamuoni?

Na wachezaji kama hawa ndo chanzo cha soka la Tanzania kupiga hatua. Poleni sana Azam FC.

Dah! Maskini wa kufikiri wewe. Umetoa povu kana kwamba anakukazia demu wako! Mmefumaniana uwanja wa fisi nini! Kama ni soka tu, basi fikiri zaidi, umekosea sana au huujui mpira. Ni shabiki limbukeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom