Walinzi usiku hasa wa maduka niliwahi kuongea Na mlizi mmoja akawa anasema usiku kichaa analala kibalazani akimshika tu nakupima oil kichaa miguu manuu katulia tuli kama sio yeye Jamaa anawatandika so mchezo kashakula hadi wanachuo walevi enzi ya bilcanas ifm kunajengo lilivunja likawekewa uzio anakwambia watoto wakalii kukikucha pombe zikiwatoka wanashangaa wame lala kwenye banda mlinziHuyo kapewa na kichaa mwenzake tu, no way out
Hapa ndipo watu waliosoma sociology /usitawi wa jamii ndipo wanapoingia sasaHabari WanaJF,
Mara nyingi nikiwa naenda kwenye misghuliko huwa napita maeneo ya Msimbazi Centre pale huwa namuonaga mdada mmoja (mwendawazimu) asubuhi anakuwa amelala pembezoni mwa barabara.
Ni zaidi ya mwaka huwa namuona ona maeneo hayo sasa leo wakati nikipita njia nikamkuta yule mdada ana ujauzito unaonekana ni mkubwa.
Sasa nikajiuuliza maswali; Nani aliyempa huyu mdada mimba? Alimtongoza au alimbaka?
Ni mtu mzima au nae kichaa? Ilikuwa faragha au mubasharra?
Vipi kuhusu clinic? Vipi atajifungua? Itakuwaje uchungu ukija? Vipi malezi ya mtoto?
Yaani nimekosa majibu ya maswali ambayo nilishawahi jiuliza wakati nipo chuo pale IFM kulikuwa na mwendawazimu muda wote alikuwa na mwanae na alikuwa mkali sana ukijisogeza kwa mwanae..
Sasa ikifika muda wakujifungua inakuwaje? Au huwa wanchukuliwa na serikaliKuna wakati huwa wanabanduliwa na watu wenye akili kabisa, ila kuna mmoja yule wa manyanya na stendi ya kwenda posta alikuwa anabanduliwa na mateja.
Kama huyu wa manyanya alijifungua lakini mtoto alifariki. Si unajua wanakuwa kama hawajali hivi!Sasa ikifika muda wakujifungua inakuwaje? Au huwa wanchukuliwa na serikali
Binadamu wabaya sana waone hivyo hivyo tuSasa ikifika muda wakujifungua inakuwaje? Au huwa wanchukuliwa na serikali
Kwaiyo wanaume atuna Akilisuprisingly sijawahi sikia kichaa wa kiume kampa mimba chizi au mwenye akili timamu, lakini kichaa wa kike kumkuta na mimba ni kitu cha kawaida