Hivi ananipenda kweli?

nenda chuo na weka elimu mbele ukija kupata kari au ukawa na hela atakuja mwenyewe ,do u remember baby i told u i love u so much that time ,sasa hapo unamwambia unakumbuka zile kalender????????????????
Tumia akili unapo andika sio unaandika andika tu. lione.
 
tumia akili unapo andika sio unaandika andika tu. Lione.
we dubu yaani wewe ni lidubu kabisa hapo kulingana na thread yenyewe unataka nimwambie nini amfunge kamba ???????????? Mshauri akasome apate maendeleo huyo atakuja tuu kha wewe vipi mshauri mazuri zaid ya hayo tuyaone basi
 
Last edited by a moderator:

'Nivea taratibu aise usije ukagombana na key board
Achana nae wala usiangaike kumjibu
Maana utapoteza nguvu zako bure
 
nivea taratibu aise usije ukagombana na key board
Achana nae wala usiangaike kumjibu
Maana utapoteza nguvu zako bure
 
Last edited by a moderator:
Usiwe na haraka kijana huyu ni wako kila kitu kinakwenda ngazi kwa ngazi usichacha huyu msichana yupo makini that is why unakwenda hatua kwa hatu plz show love to her.
 
habari yako BAK na mimi nina mpango wa kukutongoza ila mapenzi yetu yatakua ya e-mail tu!

Weye purple weye!!!..Hakuna mapenzi ya email au labda mimi sijawahi kuyasikia
!!

Last edited by a moderator:
mkuu BAK KUNA MTU ANATAKA KUKUTONGOZA ANAITWA Purple JE MUULIZE NI MWANAMKE AU MWANAUME ?????????????ISIKUTE NI LIDUME HILO

lol! umeona eeh Nivea!? Gender verificatiion is a MUST :)...Nimeshawahi kusoma jumbe hapa na nikafanya double take ili kuhakikisha ninachokisoma. Unakuta mchangiaji anachangia kama njemba halafu kwingine anachangia kama mdada!!! nikabaki kujinyamazia tu huku nikihisi ndiyo yale mambo ya kina Semenya. :peep:
 
Mahusiano yote ya Mapenzi kabla hamjaoana yamejaa asilimia kubwa ya uongo mwisho wa yote ni pale tu mnapofunga ndoa na kuishi pamoja ndipo ukweli wa kupendana unapodhihirika wazi.
 
we dubu yaani wewe ni lidubu kabisa hapo kulingana na thread yenyewe unataka nimwambie nini amfunge kamba ???????????? Mshauri akasome apate maendeleo huyo atakuja tuu kha wewe vipi mshauri mazuri zaid ya hayo tuyaone basi
acha ushamba wewe. loine..
 
duuh?nyie mkienda chuo ndo mwisho wenu.mkuu chuo kuna dadaz za ukwel sijui kama utamkumbuka.Lakini SOMA KWANZA USIJIHUSISHE HUKO MANA DUNIA TAMBALA BOVU.
 
Kuna msichana ambaye nilimaliza naye sekondari kidato cha nne mwaka 2009 mpaka sasa tumemaliza kidato cha sita tukisubiri post za chuo.Aliwahi kunitamkia kuwa ananipenda na mimi nikamkumbalia lakini cha kushangaza sana mapenzi yetu yamekuwa ni ya kwenye simu tu kiasi huwa nakosa muda wa kukaa naye ili tuzungumze juu ya mahusiano yetu na pia nimeshakwenda nyumbani kwao mara nyingi lakini nikimuuliza atakuja lini nyumbani apajue ananipiga kalenda na hata mama yangu anajua nipo naye lakini hajawahi kumuona.Je hivi ni kweli ananipenda au ananipotezea muda? msaada wenu wadau

Wewe kwa upande wako unahisi mapenzi ni nini? Au unafikiri kuonana kimwili ndio penzi?. Hebu peleka posa uone iwapo atakukataa basi utajuwa kuwa hakupendi. Labda kama una habari yoyote kuwa anatoka na mtu mwengine?
 
Back
Top Bottom