Aisee hiyo nimeipenda sana,kuna siku nilibeba mwanangu mgongoni(bila kanga) tukiwa na mama yake,tulivyokuwa tunapita mtaani watu walikuwa wanashangaa,wengine walifurahia hicho kitendo.Kwa hapo sioni kama jamaa kaolewa ni mambo ya kawaida na ni uamzi.
na maranyingi ukiona hivi, ujue mtoto anaumwa anapelekwa hospital fulani,,, ma baba wa ukweli huwa wanapenda sana kubeba watoto wakiwa kwenye hali hii na mazingira hayo ya afya ya mtoto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.