Hapo ni songea,angalia blog ya mjengwa au michuzinini kinakuonyesha kuwa hapo ni TZ, ..... ngoja machafuko au mtetemeko na mafuriko yakukumbe huko ulipo ndipo utakapo kumbuka kwenu
sasa huyu alielala ndo mwenye bucha????????????hehehe gabachori kwenye uwekezaji songea makubwa haya
<br />sasa huyu alielala ndo mwenye bucha????????????hehehe gabachori kwenye uwekezaji songea makubwa haya
Ila hiyo nyama inaonekana tamu sana, ceteris peribus....[/QUOTE]
Jomba umenikumbusha somo la Economics miaka ya 1963!
Hakika kwa macho ya tujuao, hiyo nyama ni nzuri, shida ni matunzo!