Hivi Akisemaga hivi huwa ana maanisha nn

Tuwaseme

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
646
1,000
Wadau niende moja kwa moja kwenye swali langu..

Kama umesikiliza Kipindi cha XXL wakati Msanii Diamond akitambulisha wimbo wake mpya wa Fire, aliulizwa swali kuhusu tofauti iliyojitokeza kati ya Wasafi na Q Boy.

Baada ya Maelezo mengi kuhusu ishu hiyo Diamond alisikika akimchimba biti Q Boy kwa kusema yeye Diamond akibadili status yake ya Jina na kuwa kama Nasibu basi atampoteza kwa kumfanya kitu kibaya Q Boy. Kwa kifupi aliongea maneno fulani hivi ya kebehi kama mtu mwenye nguvu ya kumfanya chochote Q Boy.

Hapo Hapo, aliulizwa swali tena na B12 endapo atagundua Bidhaa yake ya Perfume, watu wameichakachua na kutoa fake mtaani atafanyaje. Diamomd alijibu kwa kusema kama Serikali itashindwa kumchukulia hatua mtu huyo ambae amechakachua bidhaa yake, basi yeye kama Diamond atamtafuta mtu huyo mwenyewe na atamshungulikia. Alitumia maneno fulani hivi ya kebehi kama vile mtu huyo akimkamata atampiga au ikibidi kumroga atamroga. Alitumia neno Ndele.

Sasa swali langu ni kwamba Diamond anakuwa anatisha watu au akisemaga hivi ana maanisha nn nakuaga sielewi kabisa sababu zama za kutishana zimepita na naona kama ni utoto kusema hivyo.

Sina Team.
 
mwamba c

JF-Expert Member
Jan 2, 2017
688

Weka na video tuupate ukwel wa ukisemacho
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom