Hivi akina dada wanajua vazi linaloitwa under sketi manake?

Hivi akina dada wanajua vazi linaloitwa under sketi manake?

Underskit zipo kibao fupi na ndefu na pia kuna zile za kuanzia juu zenye vishepu kkoo zipo zimetundikwa spesho bt kuna za mitumba karume kibao
Sema kukua kwa fashion watu wanatinga jeans haitaji underskit....wengine wanakimbilia tyt zaidi.
 
Duh hiyo kitu nilivaa mara ya mwisho nikiwa darasa la nne
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom