Hivi akina dada wanajua vazi linaloitwa under sketi manake?

Hivi akina dada wanajua vazi linaloitwa under sketi manake?

Jamani hili vazi lilisaidia pale ambapo nguo iliyovaliwa inaonyesha maumbile ya ndani lakini sasa wa dada wanapiga kivazi hivohivo kiasi kwamba picha yoooooote unaiona dah majanga

acha uroho mkuu
 
duh nimekumbuka mbali sana kuna kitu tuliita mkato wa chumba! pale pindo la chupi lilipokuwa linaonekana ah now days huwezi ona.
 
Hivi under sketi unaweza vaa na suruali? Dada wengi wanavaa suruali,hadi maofisini,mashuleni,kanisani nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom