Ukiona demu hajui kuvaa under skirt kimbia huyo hafai kuoa kabisaHakuna duu wa cku hizi anaevaa ivo.....mi mwnyw ckumbuki mara ya mwisho kumuona demu kavaa hilo vazi ilikuwa mwaka gani
Bila picha hapa hapanogi!
Jamani hili vazi lilisaidia pale ambapo nguo iliyovaliwa inaonyesha maumbile ya ndani lakini sasa wa dada wanapiga kivazi hivohivo kiasi kwamba picha yoooooote unaiona dah majanga